Mkuu nakuibia siri anapenda makuu kuliko makuu yenyewe siyo mtu cheap cheap so Sera zako na ahadi ziwe za ukweli mfano ndoa kufungiwa kwenye Sayari ya Mars yaani etc siyo maua na chips kuku atakwambia maua mpelekee nyuki...
Yes my pretty Lady or should i call you Darling ?Hahahahahahaaa kunena kwa lugha tenaa....
Mmmhh Kasie is always free like a molecule fleeing everywhere ......
Common thing about us....... I have seen it.. have you? Wanna say something about the trip?
Hahahahaha I don't know why men are stupid, you tell me please.
Nilishamuuliza kuhusu hilo na Kassie alishanipa jibu zamani labda hujafuatilia tu convo vizuri ,kuna sehemu nilimuuliza kama babu ana mtreat vizuri apart from money and other staffMkuu nakuibia siri anapenda makuu kuliko makuu yenyewe siyo mtu cheap cheap so Sera zako na ahadi ziwe za ukweli mfano ndoa kufungiwa kwenye Sayari ya Mars yaani etc siyo maua na chips kuku atakwambia maua mpelekee nyuki...
Nyts Swetie ,dont let the bed bugs bite [emoji36]Ntashangaa sana kama Yamakagashi unasikiliza kila cha kufanya unasubiri kuambiwa ndo ufanye...... anyways all the best.
Wacha nipumzike masaa kadhaa baadae nna kikao na presentation mahali flani.
Oooh no paper imeleak duhNtashangaa sana kama Yamakagashi unasikiliza kila cha kufanya unasubiri kuambiwa ndo ufanye...... anyways all the best.
Wacha nipumzike masaa kadhaa baadae nna kikao na presentation mahali flani.
Hahaha wewe jamaa lazima usimamie ndoa yetu ,hii vita tumepigana pamojaOooh no paper imeleak duh
Ila usijali pamoja na yote
Zawadi ya Ushindi umeikaribia vita ya Kagera imekwisha cha msingi nikuomba usipate accident safarini kurudi Dodoma toka Mtukura.
All the best...
Ntafanya kolabo na daimond na alikiba najua utanipa shikamoo yanguHufai hata bongo muvi... Uimbaji gani huu
Naona unataka kuzika kabisa hata kale kakipaji ukikonako, kwanini usinitafte mimi promotaNtafanya kolabo na daimond na alikiba najua utanipa shikamoo yangu
Doh... naona kipaji changu kikichukuliwa na ziraili... hakyamama.Naona unataka kuzika kabisa hata kale kakipaji ukikonako, kwanini usinitafte mimi promota
Advertize ya kwanza ni kukupromote kufanya kolabo na Hillary ClintonDoh... naona kipaji changu kikichukuliwa na ziraili... hakyamama.
Huu wimbo asili yake,ni kwamba wakati mfalme anataka kutoka ndani ili aje nje kubarizi au kuongea na watu ndiyo anaimbiwa,ni kumkaribisha mfalme tu na kumpa heshima yakeHabari ya asubuhi wapendwa,
Jana usiku babu wa Kasie amenibembeleza kiaina yake, nilikuwa kila nikijigeuza usingizi hauji, kila nikigeuka huku usingizi unagoma nikamwambia babu mie sipati usingizi na muda unaenda asubuhi ntachelewa kuamka, basi babu akaamka na kuanza kunibembeleza kama mama anavombembeleza mwanaye aliyestuka usiku kwa kuota ndoto mbaya.
Basi babu akaanza kuniimbia nyimbo za kinyamwezi hahahahaa nikaanza kutabasamu huku anani petipeti mgongoni hadi nikapitiwa na usingizi.
Wimbo alioniimbia ninaoukumbuka ni huu....
Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu wangaluka mwana wa Ntemi,
Walolo mayo watolwa mwana wa Ntemi
Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu.. (sijui nimepatia matamshi unavoimbwa)
Maana yake hata sijui ni nini mie nilisikia raha tuu kubembelezwa na nyingine lizoniimbia sizikumbuki maana nilipotelea usingizini.
Babe ake Kasie is so lovey..... muah!! to him.
Kama unafuraha na tabasamu siku ya leo unga hapa kuimba kinyamwezi.
Wakati ukiwa East unageuka kuelekea west, mimi babu ODM... yaani mimi mwenyewe Big Sam orijinale... ntakuwa natokea north kuelekea south kwa bodaboda... tafakari kitakachotokea hapo katikati kwenye junction. Unajua ajali nyingine hazihitaji trafiki kupima... kwa maana miezi tisa itakayofuata maternity ward itadhihirisha chanzo cha ajali.Hhahahahahahaaaa babuuuuu you know what..... Kasie go East and turn back to West but to you Babu Big Sam is the Best!!!
I laaabbbb yuuuuuu Babu Big Saaaamm mmmmmmmuuuuaaaahhhhh!!!!!
Let our biology parts greets and shakes-Speer heheheheheee
Aaahahahahhaa ndo lugha gani hii naona ina kibantu na kiinglish humo humo heheheheee
Haya weka na tafsiri yake, halafu uendelee kuimba hadi ninogewe wimbo mwingine na mwingine tena.
Ila babu ake Kasie akikubamba unaniimbia mie nakukana kuwa sikujui looh heheheheee (jiandae kwa hilo).
Teh teh juhudi zote hizi nafanya kubahatisha kumbe babu akitokea nakanwa ? Sasa nakauka koo hapa bure kumbe naburudisha babu akija ajichukulie tu ?
Basi sitoi tafsiri babu akiona mwambie huyu ni mgonjwa wa akili hunielewi
Ndio bye bye Kasie tutaonana panapo majaliwa
Namaganda nze tombonyabonya, oweffumbe nze tonumya baby,
nandyagadde nkunanike empeta kasita ebintu tobiwanvuya
Ndimwana wa mpiisa nze banjulira ,banjulira ndi mukwata mpola
njagala kutwaleko mumawanga ge'bweru ,nkujje kukaalo nkulambuze ensi eno
Teh teh acha tu nife kama Mjerumani na tai yangu shingoni
Afterall huko niendako nina ahadi yangu ya mabikra wa kutosha niombee tu niionje Firdaus
Wacha kina babu Asprin na wengineo waendelee kuhatarisha maisha yao na mzigo bado hawapati
Una waenjoy tu hapa ikifika Magharibi wageukia kwa babu yako
So long Kassie
Hii kauli sijaipenda... hasa ukizingatia nilikosa nafasi ya kufanya kolabo na Diamond kwenye kale kaSalome... Diamond ana roho mbaya, eti alinambia sauti yangu labda nimtafute Man Fongo niimbe singeli ya hakunaga ushemeji remix...Kasie ulevi wake mdogo tuu, muimbie nyimbo nyimbo nyingi nyingi tuu, mojawapo ikimkuna basi umempata.
Nisamehe mzee si unajua tena mjomba kaja sema ujue nini lile gari linaenda na bado mbuzi hawajala mwambie mwalimu watoto wakitoka shule waache wale mafundi waje na radio na kesho pilot anaruka basi kijijini shida umeme yaani duka la mangi anauza spea za trekta na utumbo wa mbuziNapenda tu kuwataarifu, sijabarikiwa na haya makitu yenu.
Naenda mlimani kukesha na kusali
Umesamehewa sheikh... nimekusamehe kwa kuwa wewe ni UKAWA mwenzangu kutokea kanisa katoliki jimbo la Sudani ya Kusini.Nisamehe mzee si unajua tena mjomba kaja sema ujue nini lile gari linaenda na bado mbuzi hawajala mwambie mwalimu watoto wakitoka shule waache wale mafundi waje na radio na kesho pilot anaruka basi kijijini shida umeme yaani duka la mangi anauza spea za trekta na utumbo wa mbuzi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] dah aisee wewe mzee kijana ni kiboko nashukuru sana kwa msamaha kwa sababu ya interests tulizonazoUmesamehewa sheikh... nimekusamehe kwa kuwa wewe ni UKAWA mwenzangu kutokea kanisa katoliki jimbo la Sudani ya Kusini.
Wabhezya mnyanda wa kumwa Ntemi MiramboWafuma mwikulu - Umetoka Ikulu.
Wangaluka mwana wa Ntemi - Umeamkaje mtoto wa Mtawala.
Siyo Walolo mayo ni Aluyu mayo inamaanisha huyu hapa mama(mwanamke),
Watolwa mwana wa Ntemi - Ameolewa mtoto wa Mtawala.