Kwa wanaoijua Kyocera Photocopy mashine

Kwa wanaoijua Kyocera Photocopy mashine

Oxpower

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,180
Reaction score
3,118
Kuna photocopy mashine aina ya kyocera,naomba kujua kuhusu mambo kadhaa
1.utendaji wake wa kazi ukoje,yani speed na ubora wa picha
2.vifaa vyake kwa hapa nchini ke vinapatikana na vinapatikana wapi
3.gharama za vifaa vyake hasa wino ,cartridge na drum zake
4.uimara wake katika kuhimili mikikimikiki ya kazi za kibiashara
5.mafundi wa hizi mashine je wanapatikana

Natanguliza shukrani
 
Sina uzoefu nazo ila ni mashine heavy duty. Kuna kampuni inaitwa MFI ndio dealer wa hizo. Arusha wapo na Dar pia nadhani ndio Makao makuu
 
Asante sana mkuu.itabidi nijaribu kuitafuta hiyo kampuni
 
Kuna photocopy mashine aina ya kyocera,naomba kujua kuhusu mambo kadhaa
1.utendaji wake wa kazi ukoje,yani speed na ubora wa picha
2.vifaa vyake kwa hapa nchini ke vinapatikana na vinapatikana wapi
3.gharama za vifaa vyake hasa wino ,cartridge na drum zake
4.uimara wake katika kuhimili mikikimikiki ya kazi za kibiashara
5.mafundi wa hizi mashine je wanapatikana

Natanguliza shukrani
Mpigie simu mwenyewe James Mlawa 0784380847 atakusaidia na kukuuzia used
 
Biashara yako ni ya ukubwa gani...??kama ni kawaida mara 100 uchukue canon tu..
Nb:mimi ni fundi mbobezi wa hizi mashine
 
Kama unafanya biashara chukua xerox achana na canon kabisa, kwanza ina vitu vingi sana halafu service yake unafanya baada ya kutoa copy karibia 13000 wakati canon ni copy 5000 mpaka 7000 hii ni kutokana na jinsi hii mashine ilivyotengenezwa na kwa fundi yoyote atakushauri ununue canon sbb kwanza inaharibika kirahisi sana na service unafanya kila mara, am talking for my experience sbb nishatumia zote nimeona ubaya wake na uzuri
 
Huyu ndio yupo katika hiyo kampuni
Huyo ni supplier wa used hapa Dar na wengi wananunua au kukodi kwake. Hizi machine (ingawa used) wino wake ni bei sawa na bure. Nadhani unajua ujanja wa printers na copiers kuwa unainunua bei rahisi lakini unaadhibiwa katika wino. Au unainunua bei kuubwa lakini unaenjoy katika wino.
 
Biashara yako ni ya ukubwa gani...??kama ni kawaida mara 100 uchukue canon tu..
Nb:mimi ni fundi mbobezi wa hizi mashine
Boashara yangu ni ya kawaida sana mkuu,kazi kubwa ni za vipindi
 
Kama unafanya biashara chukua xerox achana na canon kabisa, kwanza ina vitu vingi sana halafu service yake unafanya baada ya kutoa copy karibia 13000 wakati canon ni copy 5000 mpaka 7000 hii ni kutokana na jinsi hii mashine ilivyotengenezwa na kwa fundi yoyote atakushauri ununue canon sbb kwanza inaharibika kirahisi sana na service unafanya kila mara, am talking for my experience sbb nishatumia zote nimeona ubaya wake na uzuri
Asante kwa ushauri mkuu,kabla natumia HP lakin saizi imechoka
 
Huyo ni supplier wa used hapa Dar na wengi wananunua au kukodi kwake. Hizi machine (ingawa used) wino wake ni bei sawa na bure. Nadhani unajua ujanja wa printers na copiers kuwa unainunua bei rahisi lakini unaadhibiwa katika wino. Au unainunua bei kuubwa lakini unaenjoy katika wino.
Na mimi vitu nataka kujua ni wino na drum yake maana hivi ndio huisha mapema
 
Hp wino wake ghali saaaaana huwezi kupata faida. Ni afadhali utumie hata epison L850 ambayo wino wake Kariakoo ni 10,000 tu
Nilikua natumia hp laserjet 5200,wino wake wa kurefil ni 35000 tu kwa kilo,kipindi haijachoka sikuwah kujutia na imesumbua kutokana na mafundi.ni printa tupu na sijaona canon ya kufanana nayo kabisa
 
Karibu nkuuzie kyocera taskalfa 420i
Asante,lakini ungenipa uzoefu kidogo kuhusu upatikanaji wa vifaa vyake ingekua njema zaidi ,pia ungenipa sifa za hiyo mashine
 
Back
Top Bottom