Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 15,894
- 36,288
Nimewahi tumia l9... Kujipiga na kujiwasha torch ilikuwaga kawaida tu!!Hilo sio tatizo mzee
Ila ni tabia ya simu aina za tecno,,, inabidi uzoee na subiri mengineyo zaidi,,,kama simu kujipiga yenyewe na kadhalika
Sent using Jamii Forums mobile app