Kwa wanaoijua k7 msaada huku

Raj kapool

JF-Expert Member
Jun 29, 2018
627
1,000
Tatzo nn mpaka ina jum Mara nying afu IPO slow sana mara inaganda pia inaandika hivyo hii tiba yake nn
Screenshot_20190213-213742.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Escoter

Member
May 1, 2017
94
125
Jaribu kuwa una boost mara kwa mara, kuna sehemu inaitwa phonemaster ingilia hapo..

Patriotist..
 

Davy2

Member
Feb 4, 2012
79
95
Hapo system ya sim imeanza kuisha....hvyo jitahid kuipa free space ya kutosha kweny disk zake na jitahid kuiboost na kufuta caches....ttzo likizid utabadilisha firmware!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom