Kwa wanaoijua DUCE, Tufahamisheni Vizuri

Kama unachukua history utakutana na lecturer mmoja anaitwa Muselem, huyo kukupa 0.5/10 ktk presentation si jambo la ajabu sana.

Course za education ziko poa ila msuli wake ni mzito kidogo.

Uliza utakalo utajibiwa.
 
Kijana karibu DUCE,

1. hostel kupata ni probability mfano mm sikupata ingawa DUCE wanatumia hostel tatu, za ndan ya chuo, mabibo na Mbagala .Usiofu unaweza kupanga chumba na marafiki zako au ukaenda hostel private ambapo zpo kibao zimekizunguka chuo

2. Jiandae kuchaguliwa masomo ya kufundisha labda uwe na sababu maalum au uwe na mtu wakubadilishana nae, Mfano wengi wanaikimbia pale history.

Nadhani hvyo ndo vya muhimu uweke kwanza kweny akili yako kabla ujafika
 
Dah kumbe Kuna kuchaguliwa masomo tena
 
Kama unachukua history utakutana na lecturer mmoja anaitwa Muselem, huyo kukupa 0.5/10 ktk presentation si jambo la ajabu sana.

Course za education ziko poa ila msuli wake ni mzito kidogo.

Uliza utakalo utajibiwa.
Kuna mkuu amedokeza kua Kuna kuchaguliwa masomo ya kufundisha labda uwe na sababu maalum
 
DuCE chuo gani kile kipo kama shule ya msingi bhanaaaaaaaaaa
Ulete na hoja za msingi, siyo kupayuka Kama mtoto.... Nenda uangalie ufaulu wa watu waliochaguliwa pale ndo utajua bora au si bora
 
Dah kumbe Kuna kuchaguliwa masomo tena
Watakuchagulia masomo mawili Kati ya yale uliyofanya vzur lakn unaweza kubadilisha hii inasaidia Sana kubalance wakisema kila mtu achague kuna masomo yatakuwa na watu wachache Sana
 
Utapata shida sana ukienda huko dogo.. Hostel za ndan shida nje ndo balaa mdogo wangu kasoma DUCE
Usimdanganye mtu sema kulingana na idadi ya wanafunz wengi siyo wote wanaoweza kupata lakin wengi wao wanaotokea nje Dar es salaam wanapata hostel hasa girls ambao wamepewa na kuhusu hostel za nje zpo nyingi na bado wengn wanazd kubadilisha nyumba zao kuwa hostel
 
Hivi umenielewa point yangu? DUCE naijua sana sana naweza kukutajia walimu kibao wa pale ila wanafunzi ni wengi hata mtaani hostel zipo lkn bei ghali sana sana, naijua keko kuliko maeneo ya Dealers pub kulee wengi wanakaa, kuna amani hostel, kuna kurasini wengi hukaa kule shida ni bei kubwa kuna hilo tatizo usione napotosha naijua sana Duce hata huyo Chris Madesa mnaemwita anaitwa Charles Damas na sio mnavyomwita.....acha unaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kuna mkuu amedokeza kua Kuna kuchaguliwa masomo ya kufundisha labda uwe na sababu maalum
Watakuchagulia hasa yale uliyofaulu zaidi kati ya yale ma3. Upo uwezekano wa kubadilkshana somo na mtu (mfano unampa history yeye anakupa literature/geography/linguistic nk) ila kuna wakati wanagoma kubadilishana.
 
Nifuate PM nikupe namba ya kijana wa mwaka wa 3 atakae kusaidia kuanzia utakapofika.
Kwa sasa anafanya field pale kibasila pamoja na viongozi wa DARUSO (maana ya DARUSO utaijua kwenye orientation, jirani na DUCE.
 
Hivi umenielewa point yangu? DUCE naijua sana sana naweza kukutajia walimu kibao wa pale ila wanafunzi ni wengi hata mtaani hostel zipo lkn bei ghali sana sana, naijua keko kuliko maeneo ya Dealers pub kulee wengi wanakaa, kuna amani hostel, kuna kurasini wengi hukaa kule shida ni bei kubwa kuna hilo tatizo usione napotosha naijua sana Duce hata huyo Chris Madesa mnaemwita anaitwa Charles Damas na sio mnavyomwita.....acha unaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kumbe point yako ilikuwa gharama, ungesema Mkuu kuliko kumuambia mtu asiende atapata shida sasa aende wapi huku application ndo hyo tayari.... Lakini kijana asiofu zpo hostel za bei hizi
140,000
180,000
200,000
220,000
260,000
300,000

Zote hizo ni kwa semister (4 months) ikujumuisha gharama za maji, umeme na baadh ya hoste usafi ,zengne usafi utafanya mwenyewe na zinapatikana ktk maeneo haya
Taifa
Keko ( ndo nying zpo)
Wiles ( Temeke)
Temeke mwisho
Sabasaba
Kurasini
Serengeti
Maduka mawili
Na sehem Zingine
 
Watakuchagulia masomo mawili Kati ya yale uliyofanya vzur lakn unaweza kubadilisha hii inasaidia Sana kubalance wakisema kila mtu achague kuna masomo yatakuwa na watu wachache Sana
HAPO ROHO YANGU IMETULIA.ASANTE SANA MKUU
 
Usimdanganye mtu sema kulingana na idadi ya wanafunz wengi siyo wote wanaoweza kupata lakin wengi wao wanaotokea nje Dar es salaam wanapata hostel hasa girls ambao wamepewa na kuhusu hostel za nje zpo nyingi na bado wengn wanazd kubadilisha nyumba zao kuwa hostel
NASHUKURU MKUU I WISH NIPATE HOSTEL
 
Nifuate PM nikupe namba ya kijana wa mwaka wa 3 atakae kusaidia kuanzia utakapofika.
Kwa sasa anafanya field pale kibasila pamoja na viongozi wa DARUSO (maana ya DARUSO utaijua kwenye orientation, jirani na DUCE.
NASHUKURU NSHAKUFUATA PM
 
Kumbe point yako ilikuwa gharama, ungesema Mkuu kuliko kumuambia mtu asiende atapata shida sasa aende wapi huku application ndo hyo tayari.... Lakini kijana asiofu zpo hostel za bei hizi
140,000
180,000
200,000
220,000
260,000
300,000

Zote hizo ni kwa semister (4 months) ikujumuisha gharama za maji, umeme na baadh ya hoste usafi ,zengne usafi utafanya mwenyewe na zinapatikana ktk maeneo haya
Taifa
Keko ( ndo nying zpo)
Wiles ( Temeke)
Temeke mwisho
Sabasaba
Kurasini
Serengeti
Maduka mawili
Na sehem Zingine
ASANTE SANA NDUGU,UMENIPA MOYO WA KUSONGA MBELE,NA PIA HATA KUJITAYARISHA KISAIKOLOJIA KAMA TU NTAKOSA HOSTEL ZA CHUO,KWA MAANA YA BEI NA ENEO AMBALO NAWEZA KUANZIA KUPATA HOSTEL.THANKS
 
Back
Top Bottom