kwa wanaoijua arusha

kerai

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
222
150
ndugu zangu,mm nimuhitimu wa chuo kikuu mwaka hu nimepata kijikazi napata km lak4 hivi kwa mwezi,nataka kuongeza kipato kwa biashara ya chips,mishikaki na ugali nyama choma hapa arusha.naomba mnishauri yafuatayo#
1.eneo lenye mkusanyiko biashara itakapofaa
2.mtaji kiasi gani coz nataka iwe sehemu inayovutia
3.taratibu za kufuata km tra,leseni km vinahitajika
4.usimamizi coz muda mwingi nko kazini
5.lolote lakunshauri kuhusu hiii biashara Kwa Arusha
#natanguliza shukurani
 
Back
Top Bottom