Kwa wanaohitaji mpunga,nina gunia zaidi ya 500

Stanboy

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
1,115
Reaction score
1,327
Kwa wafanyabiashara,watu au makampuni wanaohitaji mpunga au mchele,nina gunia zaidi ya 500..zipo Igunga mjini..
Hata kama ukihitaji zaidi ya gunia nilizonazo utapata tu

BEI
100,000/= kwa gunia moja la mpunga na 160,000/=kwa gunia moja la mchele la kg 100

MAWASILIANO
Njoo pm
 
Kwa wafanyabiashara,watu au makampuni wanaohitaji mpunga au mchele,nina gunia zaidi ya 500..zipo Igunga mjini..
Hata kama ukihitaji zaidi ya gunia nilizonazo utapata tu

Bei ni maelewano tu,
Njoo pm
Gunia bei gani jamaa?
 
Njoo nikuuzie mkuu kama una hela hata ukihitaji gunia 59 nakuuzia tu
 
Kaka debe 7 unapata kilogram 3.5-5!!na hapo umeuza kwa laki moja!!hebu kaa tulia kwanza.
 
Nilishindwa kuedit kuna makosa hapo...ni debe 3.5-5 siyo kilogram
mkuu mpunga umefika bei hiyo lini? hata elfu 70 tu haujafika

mipaka imeshafunguliwa kaka,
Bei zinakimbia sana sasa hivi..kama unauza kwa bei ndogo shituka
 
Kwa wafanyabiashara,watu au makampuni wanaohitaji mpunga au mchele,nina gunia zaidi ya 500..zipo Igunga mjini..
Hata kama ukihitaji zaidi ya gunia nilizonazo utapata tu

Bei ni maelewano tu,
Njoo pm
Mchele gunia moja la kilo mia unauzaje kwa bei ya Igunga?
 
Back
Top Bottom