structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 907
Dah hakika umekuja wakati muafaka. Hii inaitwa double coincidence of wants....vp naruhusiwa kutangaza nia.Aisee hata Mi nahitaji mume maana kwa akili zangu nimeshindwa, wameume za watu wamenisonga tuu, huwa najiuliza hakuna hata aliyesingle?