Kwa wanaohitaji kuolewa

Aisee hata Mi nahitaji mume maana kwa akili zangu nimeshindwa, wameume za watu wamenisonga tuu, huwa najiuliza hakuna hata aliyesingle?
Dah hakika umekuja wakati muafaka. Hii inaitwa double coincidence of wants....vp naruhusiwa kutangaza nia.
 
Ole wake mtu yule awapotoshaye hawa, itakuwa heri kufungiwa jiwe la kusaga shingoni mwake na kutoswa kilindini mwa bahari ya shamu!
 
Tumejitoa kuwaombea kina dada ambao wanahitaji wachumba wa kuwaoa, tutamuombea tu ambaye yuko serious na anahitaji kweli kutokana na sababu mbali mbali na za msingi anazo zijua yeye. Kama kuna tatizo linalo kufanya usiolewe na unalijua wewe tafadhali tatua kwanza halafu uje tutasali pamoja. anayehitaji atuandikie kwenye email: prayerrequest123431@yahoo.com Jina lake na namba yake tutampigia ili tuombe kwa pamoja. ukituma namba isiyo sahihi na isiyoyakwako tukikukosa hatutarudia kukupigia hakikisha tunapokupigia upo sehem ambazo hazina kelele ili tuwe na muda mzuri wa maombi. tutashukuru kama utatupa namba ya tigo au Vodacom maana itakuwa rahisi kwetu kukupigia.

Tutakupigia simu asubuhi saa 12 au saa 12 jioni huo ni muda mzuri kwetu kupiga simu. kwa wale wasiokuwa na nafasi muda huo huenda watakuwa njiani kwenda kazini au kurudi kazini muda huo basi watakapoandika email au sms wachague muda saa 10,11 alfajiri au saa 3,4 usiku waandike muda. SIMU ITAKUWA WAZI KWA MUDA TAJWA TU.

tunaanza na kuwaombea ambao hawana watoto yani ambao hawajazaa wiki ijayo tutakuwa na ratiba ya kuwaombe hata wale ambao wenye watoto ambao wamesha zaa. Mungu awajibu haja ya mioyo yenu na awape mnacho kihitaji.

SMS 0658 41 74 86 andika jina, muda wa maombi kama tulivyo ainisha hapo juu, usitupe muda tofauti na huo maana hatuna nafasi kwa muda mwingine. (usibip tafadhali) kama unapiga hakikisha una dakika zisizopungua 8 za maombi.

***ASIYE MHUSIKA ASI COMMENT TAFADHALI***
Je kwa sie tunaohitaji kuoa mnatufikiria vipi??
 
Mimi nataka mniombee nipate Mume Bilionea.
usingoje kuombewa dada good things attracts good things. kuwa millionea alafu utapata bwana billionea niamini mimi.
ila ukiwa jerolionea (500) basi utapata bukulionea (1000)
 
usingoje kuombewa dada good things attracts good things. kuwa millionea alafu utapata bwana billionea niamini mimi.
ila ukiwa jerolionea (500) basi utapata bukulionea (1000)
Mwenyewe najiombea pia hata Mungu anakwambia jisaidie na Mimi ntakusaidi.

Unaweza kuwa hata wa 100 na ukapata bilionea ama milionea, kila kitu ni malengo na target sasa wewe jiwekee wa buku kwasababu ni wa jero, focus mbele zaidi uone Kama kile ukinenacho na kukiwekea bidii hakitimii.
 
Dada angu, maisha hayako ivo.
"you can limit your disappointment by limiting your expectations"

Alafu ushauri tuu na kuwaz kidogo
:kwanini usiombe wewe uwe bilionea, unataka mume bilionea?
 
Dada angu, maisha hayako ivo.
"you can limit your disappointment by limiting your expectations"

Alafu ushauri tuu na kuwaz kidogo
:kwanini usiombe wewe uwe bilionea, unataka mume bilionea?
Naomba nikuulize kitu mana unanichosha, kwani Mimi kutaka mume milionea ama bilionea inakuwasha nini???? Hayo ni maamuzi yangu Mimi binafsi na maisha yangu inakuathiri nini????

Kila mtu ana malengo na mipango yake kwenye maisha yake.
 
sijaumwa wala kuguswa wala kufeel mimi nimefanya kuuliza kama imekukera pole
 
sijaumwa wala kuguswa wala kufeel mimi nimefanya kuuliza kama imekukera pole

Sijakereka nimeshangazwa na kukomaa kwako kwa kile nilichokiandika.

Hapa nisehemu ya kujifurahisha usichukulie serious Sana kila kiandikwacho utapotea.
 
Je kwa sie tunaohitaji kuoa mnatufikiria vipi??
Hatujapata maelekezo kuwaombea wanaume, ila tumeshaanza kwa wasichana ambao wana watoto ila hawajaolewa. kwa sasa tunapokea mesage nyingi kila siku na tunawaombea kama 16-20 kila siku.
 
Back
Top Bottom