Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
Thanks mi mwanachama wa TAMU
TAMU na TABU...........................:rockon:
Kuna watu wenye dhiki, tabu na kiu ya kuwa bachela kama mnaojiita eti mko kwenye ndoa!!! Nawapa pole sana, Mungu awafungue macho muone maluweluwe mnayofanya!
Hhaaaaa, vipi tena Elli mpwa??? Bila shaka uko salama
Nenda haraka bana maana nakumbuka ile shule wakati naelekea kuoa
Mie nipo TAMU TAMU maana nina wake wawili.........................:rockon:Mkuu uko wapi, TAMU au TABU???