Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
Huu ni ujumbe wangu wa furaha na Upendo kwa Wanachama wote wa TAMU (Tanzania Married Union) - JF Wing
Karibuni sana tupate ujumbe huu kutoka kwa Ambwene Mwasongwe...kuna ujumbe mzuri kwa wote
Furahieni kipindi cha ndoa maana ni kifupi na huwezi jua lini waweza pumzika..
Kwa wale wanachama wa TABU (Tanzania Bachelors Union) - JF Wing karibuni Chamani wakati sahihi ukifika
CC: Mpwa Elli, walimu wangu snowhite, Pdidy, (sijalisahau lile apple wakati uleeee) Mbimbinho, Mtambuzi