nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,901
- 14,611
Suala la msingi hapa ni.......Unamke mwenye tabia za uongo, kutoa mambo ya ndani kuyapeleka kwao ,chako chake ,na chake chake, bila kujari mnafamilia, kama imekukuta kama hili ulilitatuaje? Chukulia umejaribu kumuelimisha lakini haelimiki,
1.Ulimchukua
au
2.Ulipewa?🙂