Kwa wanandoa ishakukuta na ulitatuaje?

Kwa wanandoa ishakukuta na ulitatuaje?

Mmmhhh! Hamna hata huruma. Kumbukeni hakuna aliyekamilika kila mtu ana mapungufu yake.
dada mapungufu hayo yamezid kwa kwel huyo ni zaid ya binadamu wa kawaida kama uchoyo umepitiliza
 
Kumbe na wewe umeliona hilo. Wanajifanyaga malaika sa sijui malaika wa wapi?
hivi trend ya wanaume wenye choyo na wanawake wenye choyo ipi kubwa? sie mje hapa na story za kusema amechepuka ana watoto nje hayo ndio mambo yetu
 
Huyo tayari ana malezi mabovu kwa wazazi wastaarabu hawapendi hizo tabia,ila kama mambo mengine poa basi we chuna na yeye ndio tabia yake,Hakuna mwanamke mkamilifu asikwambie mtu unaweza ukaoa dunia yote na usimpate unayetaka wewe ila kuna tabia ambazo zinaathari kubwa na zingine kawaida,angalia za muhimu
 
dada mapungufu hayo yamezid kwa kwel huyo ni zaid ya binadamu wa kawaida kama uchoyo umepitiliza
Unasikia kaka inatakiwa huyo mwanaume kwanza ajiulize wenzake wanaoshirikiana na wake zako kwa kila jambo wametumia njia gani ikiwezekana naye aitumie. Sidhani kama kuna kinachoshindikana.

Asiwe mwepesi wa kuja huku kulalamika wakati kuna wanawake kibao wanashirikiana na wanaume zao kwa moyo mmoja.
 
hivi trend ya wanaume wenye choyo na wanawake wenye choyo ipi kubwa? sie mje hapa na story za kusema amechepuka ana watoto nje hayo ndio mambo yetu
Tunaweza tukawa sawa ila kwa kuwa mama ndio muwajibikaji ndani ya familia ni rahisi kuonekana tabia yake kuliko mwanaume.

Hujajua kaka kuna wanaume ni wachoyo acha kabisa.
 
Unasikia kaka inatakiwa huyo mwanaume kwanza ajiulize wenzake wanaoshirikiana na wake zako kwa kila jambo wametumia njia gani ikiwezekana naye aitumie. Sidhani kama kuna kinachoshindikana.

Asiwe mwepesi wa kuja huku kulalamika wakati kuna wanawake kibao wanashirikiana na wanaume zao kwa moyo mmoja.
okey ni sawa kwenye hilo la kusema kushirikiana na mkewe hapo anaweza tukasema kakosea japokua siwez kuhukumu moja kwa moja
vip kuhusu swala la uchoyo nalo hilo nalo tutasemaje? hii ni hulka ya huyo dada na tayar ameshaona kua familia yake ni bora kuliko mumewe ndio maana kila jambo linafika.
 
Tunaweza tukawa sawa ila kwa kuwa mama ndio muwajibikaji ndani ya familia ni rahisi kuonekana tabia yake kuliko mwanaume.

Hujajua kaka kuna wanaume ni wachoyo acha kabisa.
dah mwanaume kuwa mchoyo kama sjaisikia may b maswala ya mahitaji mara nying iko kwenu ila nahis kwenu nyie iko kwa kias kikubwa sana dada
 
dah mwanaume kuwa mchoyo kama sjaisikia may b maswala ya mahitaji mara nying iko kwenu ila nahis kwenu nyie iko kwa kias kikubwa sana dada
Wapo kaka fuatilia na utagundua ninachokwambia.
 
Unakaa na mtu kwenye mahusiano takribani miaka 5 mkijidai eti mnasomana tabia, kesho mkishaoana mnaanza kutafuta washauri mara mke wangu yupo hivi mara vile ina maana miaka yote hiyo ya kabla ya ndoa ulikuwa hujui una date na mtu wa aina gani?
 
Back
Top Bottom