Kwa wanandoa hii ni adhabu?

Kwa wanandoa hii ni adhabu?

mwambie jamaa nae akaze kitandani ili wakomoane
 
kuna shida mahali
ila huyo mke ana tabia ya uchoyo ama ni mbinafsi
 
kuna na wanaume wako hivyo....kila mkifika shell yeye anageuka upande mwingine au anajifanya kauchapa usingizi hadi umstue ndugu tumefika shell anastuka anajifanya alikuwa anaota!
 
hivi c imeagizwa kua mwanamke atazaaa kwa uchungu na mwanaume atatafuta kwa jasho.mimi nashangaa kuona mwanaume anaomba asaidiwe majukumu yake hv nyie mnamsaidia mama pale anapozaa kwa uchungu.wanaume wasikuizi wamekua walalamishi sana yaani cjui kwann yaan

Wakati wa kugegedana si tunasikia raha wote,ukijifungua na mimi si ninakaa takribani siku arobaini bila bila kukugusa,vipi hiyo adhabu nani anaifidia?.Inakuaje hela zangu ni za wote,lakini hela zako ni zako tu
 
Wakiambiwa haki sawa kwa wote wanalalamika, wakiombwa hela wanalalamika HIVI WANAUME MNATAKA NINI??????
 
Kwa ili bora siku ziende hapa Ughaibuni maana mwisho wa mwezi kila mtu ana bajeti yake atakula atanunua kile kimfaacho mambo ya vocha aah aa,Lakini kikinuka kinanuka haswa
 
Khaaa ndio maaana mnatudharaulisha sasa!!!!!
Eti samaki na kuku ndo wanamlalamisha, yaani kumpeleka wife job na kumpitia nayo kazi!!!?????
Mke huyu anayekubebea mimba mizi tisa upate heshima ya ubaba !!!???
Unatoka na mwanao mnatia story, ukiona nguo au viatu unamkumbuka mwanao, ndugu wanakuita baba fulani sababu ya huyu mkeo!!!!!
Unatoka mishe zako upo hoi ukifika tu mwanao anakuja mbio unamnyanyua na kusmile .......hivi mtoa mada unajua smile ya mtoto inatoa faraja gani kwa mzazi!!!??????
Leo mzazi mwenzio kujiachia kwa uwepo wako iwe taabu...........kama vipi asingeoa tu!!!!

Leo kumuhudumia nayo iwe taabu mpaka bango hapa JF!!!!!!!!!!!!
Hebu mwambie huyo jamaa aache kudeka asee!!!

Kaizer bro njoo umsikie mvulana huyu!!!


Aisee nimepanda juu huko kusoma nikidhani kuna jambo zittoooo kumbe hakuna.....sasa ngoja nirudiz angu vichochoroni njia kuu huku naona hakuna issue
 
kuna na wanaume wako hivyo....kila mkifika shell yeye anageuka upande mwingine au anajifanya kauchapa usingizi hadi umstue ndugu tumefika shell anastuka anajifanya alikuwa anaota!
Teheeee mwingine hata mkiwa restaurant anajifanya wallet kaweka mbali basi atajipekua hapo mpaka uone aibu ulipe. Wanaume wengine noma!
 
Hayo ni matokeo ya hao wote wawili kubebana tu na kuishi bila kujua hata malengo na sababu za kuungana kwao.......mwanaume hujui wajibu wake na vilevile bidada naye......

Watafute washauri wa mambo ya ndoa (tahadhari:sio budget za ndoa), au wasome vitabu vinavyotoa ushauri na maana ya kuishi pamoja, na nawahakikishia wala hayo hayatojitokeza tena.

Hakuna wa kuwaelekeza kuwa ni nani alipe kodi ya nyumba au nani anunue lunch na dinner....haya yote huja automatic kama kweli kuna NDOA na sio DOA...na yanabaki kuwa ya kwenu na siri yenu.

Na wasipoweka haya sawa sasa hivi, basi itakuwa taabu sana watakapoanza kuwa na watoto.
 
Uswahili ni mzigo! Huyo mwenzio analalamika ila utakuta hajawahi kujinunulia chupi, vest, handkachief, mashati wala socks. Mkewe anampelekea suti zake dry cleaners na still ananunua na nguo za wanae pia!

muambie mwanaume hasifiwi sura, lol
 
Wajibu wa kutunza familia pamoja na mke ni wa MWANAUME. Hili halina ubishi. Lakini upatapo mke aliyefundwa vizuri na mcha-Mungu kamwe hawezi kukubebesha zigo lote mume wake mpendwa. Atakusaidia kwa njia moja ama nyingine kubeba majukumu ya familia hata kama sio 50% kwa 50%. Wanawake wenye hekima husoma nyakati ili kulinda heshima ya waume wao na familia zao.

Ubinafsi ni tabia tu, iwe kwa mwanaume au mwanamke. Kuna wanaume wengi tu ambao wanakimbia majukumu yao ya kifamilia na kuwaacha wake zao wakibeba gharama zote za kutunza familia. A relationship is a two way street, it should be mutual and reciprocal. Na maisha ni kama WWE ili kuyashinda lazima uwe na tag team na mume/mke ajue when to tap out and/or get into the ring.

Heshima ya mwanaume sio kuvua zipu au kujipiga kifua tu kwani hata sokwe hufundishwa kufanya hivyo.

u nailed it.
 
mwambie jamaa nae akaze kitandani ili wakomoane

hahaha aaah wapi mwanamke hakomolew kwa kukaza kitandan koz yy huenjoy zaid ya mwanaume... unless kukaza huko unamaanisha kumnyima game.
 
jamaa amaeoa takribani miaka miwili iliyopita,kwa bahati wote ni wafanyakazi sekta binafsi...wamebahatika kupata mtoto mmoja sasa....

sasa basi ,jamaa anakitoyota chake kila asubuhi anakiwasha wanaelekea jobu na mamsapu pembeni...Gari si unaju alazima ipite shell??jamaa bajet ya mafuta mwez mzima ni juu yake!!

akimshusha kazini kwake bimkubwa haishi mara nipe ef 5 ya lunch nk nk...badae naomba nitumie vocha duka lipo mbali haya anatuma!!

jioni the same apitiwe,,oooh beby leo nna hamu ya samaki wa kupaka satoo,ooh kuku wa kienyeji!!jamaa anunue!!!

ela ya bibie haionekani!!na jamaa wanaishi poa tu ila amenisimulia tu kuyajua y andoa yalivyo....

jamani!!!mbona nimeogopa??

Ndivyo ilivyo? sasa zake ziende wapi? kwa kweli nitaendelea kuwagegedua tu
Wewe umeumbwa mwaune na laana yako toka kwa mwenyezi mungu ni kula kwa jasho hivyo kula kuvaa vyote ni jukum la mwanaume
 
Back
Top Bottom