Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
wengi sana. wanaomba mpaka hela ya chumvi kwa mumeNi baadhi mkuu sio wote.
wengi sana. wanaomba mpaka hela ya chumvi kwa mumeNi baadhi mkuu sio wote.
wewe ishi kwa agano la kale tuu.Hata kwenye biblia mwanamke kaambiwa atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho! Wanaume mmekuwa wavivu sana katika kutimiza majukumu yenu! Kila siku kulialia tu hee! Mbona babu zetu wake zao walikuwa wamama wa nyumbani na hawakuwalalamikia? Kweli wanaume siku hizi ndo mana mnaitwa 'wanaume suruali'! badilikeni muwe vichwa vya familia na sio mikiaaaa!!!!!
marriage is how we built it. kwani nimeoa jiwe. tunatakiwa kushirikianaLife is how you make it! Marriage is how you built it...!
Uswahili ni mzigo! Huyo mwenzio analalamika ila utakuta hajawahi kujinunulia chupi, vest, handkachief, mashati wala socks. Mkewe anampelekea suti zake dry cleaners na still ananunua na nguo za wanae pia!
muambie mwanaume hasifiwi sura, lol
wanawake ni wa binafsi sana hata awe anakuzidi salary atakuwa tegemezi tuu
wewe ishi kwa agano la kale tuu.
bado natafuta lakini kila ninapopita ni yaleyale. ananiona natumia nokia tochi anaomba zawadi ya iphone kwenye birthday partyNaomba nikuulize, wewe Prince Akeem umeoa???
Kichwa pia kinahitaji msaaada mkuu. Huyo aliyekupa dawa asipobadilisha mganga utafanya kazi ambazo sio zako na kuona ndio kazi na mwanaumeMind you, Yesu alisema hakuja kuitengua torati bali kuikamilisha. Mwanaume uskwepe majukumu yako you will always be a head!!!!