Kwa wanajamii wote tafadhali!

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,118
Reaction score
72,600
Natanguliza shukrani za dhati kwa rafiki zangu wote humu wana Jf,muda umefika wa kupumzika na kutuliza akili zetu,pia uchovu kutokana na shughuli/pilikapilika za hapa na pale za kutafuta maisha yetu ya kila siku.

Pia namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kua nipo hai kwa kunipa pumzi ya bure kabisa ambayo siilipii na mzima wa afya,

Nachukua fursa hii kuwaombea wagonjwa ,wasiojiweza, ,Muumba awatie nguvu mrudie katika hali zenu za kawaida
Pia roho wachafu, umaskini,mashetani yashindwe na yalegee kwa uwezo wa alietuumba na kutupa mamlaka katika dunia hii.
Pia tuwe wavumilivu kama Ayubu, tujifunze kusamehe kama Mola wetu anavyotusamehe makosa yetu.

NAWATAKIENI USIKU MWEMA WENYE NDOTO NZURI.

Nawapenda nyote,!!
 
Nawe pia mama' si mbaya ukaniota, kama mimi navyokuotaga kila siku!
 

Ahsante pia na ameni kwa sala yako!
'ulale salama'
 
actually, napenda saana mwanamke anaetafakari na kuchukua hatua, thanks for consideration!

how is your night mamii?

Nami ahsante kwa ushauri wako......my night is cool kwa kweli, yours?
 
Where have yo been my dear? Nimekutafuta kila mahali, and i couldnt see you.
Am extremely happy to see you

So glad to see you as well. I've been busy searching for you sweetie. Nani kakuficha jamani? Excel, whatsup man!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…