Kwa wanagenzi wadurusu wa lugha adhimu..

Namge

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
1,435
1,931
Wakati nasoma Shahada yangu ya kwanza, tulitumia diski tepetevu, kicharazio, kirudufu, kinukuzi na kiteuzi. Ilikuwa nadra sana kukuta mwanafunzi anatumia nywila kwenye kipakatalishi. Hata vitu kama mdaki, diski mweko, mtaliga, kadi sakima na kadiwia/mkamimo havikuwepo kabisa. Ila kwa sasa mambo yamebadilika. Wanafunzi wanakula vibanzi na sharubati, wanapata mishiko haraka kutoka kiotomotela...wanatumia kadihela, Aaah mambo Saaaafi!

*Shughuli ni pale unapogundua hujui kingereza wala kiswahili*?
 
Ndo nasubiri manguli lugha waje... Watupe fasili ya msamiati huo
 
Kichwa Cha Habari chajieleza..
Nmeelekeza kwa wanagenzi wadurusu wa lugha adhimu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom