Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,391
- Thread starter
- #21
Option ya kuedit ipo kwa wapi hapo Chief-Mkwawa
Likiwa kwenye word ndio unaedit hio ni picha, una onedrive?
Last edited by a moderator:
Option ya kuedit ipo kwa wapi hapo Chief-Mkwawa
Sijiunga. Ila nina email ya hotmail
Iko poa nlikua sijui kama Microsoft wana app nzuri kama hii. Lakini tatizo inakosa feature moja muhimu sana sijui kwenye version ya Android kama ipo ambayo ni "Automatic Capture". Inabidi ipige picha yenyewe pale inapogundua document imejipanga vizuri badala ya kutumia simu kulengesha wakati huko kubonyeza kitufe cha kupigia picha.
Kukosekana kwa hii feature kuna ifanya ipigwe bao kubwa sana na app kama Scannable ya Evernote


Chief-Mkwawa Pre-processing inasaidia sana na kupunguza nguvu na muda kupanga document kwenye screen.
Hata quality bado ni tatizo Linganisha hizi picha 2 zote nimepiga nikiwa upande mmoja muda huohuo.
View attachment 256784
Hiyo hapo juu nimetumia Scannable
The
View attachment 256785
Hiyo nimetumia office lens (unaweza kuona post processing yake inaacha background)
Angle niliyokaa ni ileile. Kilichosaidia kivuli cha mkono kutoonekana ni kwa sababu ya flash. Scannable ipo accurate sana inapochagua jinsi ya kutumia flash lakini office lens haitambui vizuri mazingira ya flash ingawa ina feature ya auto flash. (Hapo nachanganyikiwa ni kwa nini manake nnavyojua ni kwamba third party apps zinazotumia camera huwa zinapata control kutoka kwenye system camera. Hivyo nilitegema flash kubehave sawa katika apps zote). Office lens ni app nzuri lakini kwa matumizi yangu ya kila cku bado naipa credit scannable.
Vp inawaza Fanya scanning mfano cheti hv
Nieleweshe vizuri hapo Chief, hiyo picha ya kwanza wakati napiga inakuwa na hizo options hapo, nachagua ipi??? Katika picha ya pili baada ya kumaliza kupiga picha inanipeleka halo. Naweka tiki ktk option ipi halo Ili niweze save?
Mpaka picha ya pili upo sahihi, ukibonyeza hiko kialama cha tik inajisave kwenye simu.
Kama unataka iende kwenye microsoft word unatick word (kwenye pic ya pili) then ndio uneka ok.
Ila kabla haijaenda kwenye word inajisave kwenye onedrive hope unayo kwenye simu. Na kama una onedrive kwenye pc na internet hapo hapo file lako linakuwa kwenye pc
kaka kila kitu unaweza fanya manual, kwa juu kuna menu kama nne, kulia kushoto kuna kialama cha mode unachagua kama iwe photo, document etc then kuna crop ya ku adjust na kueka caption. menu hizi utaziona ukishapiga picha.
by the way point yangu ninayosema sio kuscan, kuna app kibao zinascan. hii app ni bora zaidi sababu inascan na kufanya ocr, nimechukua mfano wa gazeti uelewe zaidi.
hiki ni kipande cha gazeti nimekipiga picha, picha haina flash, haina mwanga na haijatoka vizuri sababu simu yangu sio nzuri.
![]()
lakini hii app japo picha mbaya imeitambua, imeshaisave kwenye onedrive yangu na imeconvert picha kuja maandishi
![]()
hayo ni maandishi ambayo yapo kwenye microsoft word process yote imefanyika automatic, hilo neno lenye N kubwa halijatokea ila maneno mengine yametoka na naweza kuya edit.
hii feature ni nzuri huna haja ya kutoa photocopy material ya kujisomea just piga picha vizuri yote yanageuka soft copy inayoweza kueditika, wale wazee wa kucopy assignment ndo kabisaa hii inawahusu.
Mi naifungulia online kwenye browser hio word, nikisha export kama word naclick open inafunguka onlineMkuu mbona yangu haiji ku edit na nina one drive au lazima niwe na Microsoft word?????
Mkuu mbona mimi nikiend kwenye onedrive linafunguk kama picha tuu sipati maneno natumia Wp office kufungulia hyo onedrive
kama wewe ni mwanafunzi au mfanyakazi hii app si ya kukosa inafanya kazi hizi.
1. kwa kutumia camera ya simu unapiga picha ya maandishi yoyote iwe ni kitabu au ubao (white board)
2. hii app itascan ile picha na kuitoa vizuri na quality kubwa
3. hii app ina built in ocr itaconvert ile picha kuja kuwa maandishi na kusave kama microsoft word au onenote
4. file litapelekwa automatic kwenye onedrive
5. kwa kutumia pc yako yenye onedrive utalipata pale pale na kuliedit unavyotaka wewe.
![]()
kwa maelezo zaidi vitu inavyofanya angalia hii video
download link
android- Office Lens - Android Apps on Google Play
ios - Office Lens on the App Store
wp- tunayo siku nyingi search store office lens