Kwa wanachadema

Kwa wanachadema

FULLUMBU

Senior Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
178
Reaction score
61
Msipanic kwani uchaguz wa arusha ni sehemu ya mazoezi ya kampen za 2015 co lazma kampen kila baada ya miaka mi5 ushauri wangu ni kwamba kama lema aliweza angusha tembo kwa bua xaxa ni zamu ya ngamia kupenya kwenye tundu la sindano tuendelee kushuhudia siasa za kitanzania naukuaji wa demokrasia
 
kuna haja ya ku file complain dhidi ya huyu jaji hasa kwa kutumia kile kipengele cha 114 cha makosa ya rushwa
ktk uchaguzi na kukitumia kwa makusudi ili kuhalalisha kumzuia Lema kugombea. lazima ajieleze inakuwaje atumie kifungu
ambacho hakina uhusiano na kesi kwani hapa hasa ndipo matumizi ya rushwa yanapoonekana wazi wazi kwamba issue haikuwa ubunge tu bali na mtu mwenyewe lema kama individual.
 
Tutaendelea kumtambua Lema kama mbunge wa Arusha, na hata kama atatuhamasisha tulipe kodi ili aendeleze alichokuwa anakipanga kwa watu wa arusha. na tutatambua uongozi wake kwa kipindi chote mpaka 2015, mfano watu waliomchagua 2010 ni 56000, kila mmoja akiwa anatoa sh 1000 kwa kila baada ya miezi miwili Lema atakusanya kiasi cha sh. 112,000,000 kwa mwaka atapata 112,000,000 X 6 = 672,000,000 inatosha kuendelea kusomesha watoto na pia kuendelea kutekeleza miradi bila kutegemea mfumo wa magamba. jamba kubwa hapo likiwa ni kuendelea kuonyesha kuwa mshikamano na upendo ni mhimu zaidi kuliko hata huo ubunge
 
@ Darick wazo zuri sana, tutafanya chochote watakachosema makamanda wetu kwa manufaa ya watu wa Arusha!

Mshikamano daima.
 
Mjengeeni na BUNGE lake lakini sio la dodoma!
Mahakama imeshaamua na ni muhimili unaojitegemea! Heshimuni maamuzi!
 
Usifanye kila kitu sweety lady changanya na za kwako! wengine wapo kimaslahi zaidi!
 
hii nimeipenda!
 
Usifanye kila kitu sweety lady changanya na za kwako! wengine wapo kimaslahi zaidi!
Ndio maana nikasema kwa maslahi yetu watu wa arusha, ni mjinga peke ake ndie awezae kufanya kila kitu bila kuchanganya na zake!..
 
Wazo zuri kamanda tutajitahidi kuchanga mpaka kieleweke.
 
Mjengeeni na BUNGE lake lakini sio la dodoma!
Mahakama imeshaamua na ni muhimili unaojitegemea! Heshimuni maamuzi!
Ny$$%%@#$%....
tutolee ujinga wako hapa..
Wameitwa wanachadema..wewe gamba unatafuta nini humu....huna upeo....%%%$%#@
 
MODS; ipekekeni hii thread kunakohusika, hali itakuwaje kila jukwaa likisheheni mambo ya siasa?
 
Back
Top Bottom