Kwa wana UDOM tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wana UDOM tu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Baby shangazi, Apr 19, 2012.

 1. B

  Baby shangazi Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa wale waliohitimu mwaka jana 2011, transcript zitakua tayari katikati ya mwezi May 2012 na sio April tena kama ilivyotangazwa mwanzo!
  Source: www.udom.ac.tz
  Tutajuta mwaka huu maana kila kaz transcript kwanza, sasa mpaka tuzipate tutakua 2mepigika vya kutosha mweee!!
   
 2. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Saga lami kwanza bwana mdogo!!Viatu visagike,mashati yapauke!!
   
 3. B

  Baby shangazi Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mara mbili? Hapa hata mia mbili ya bahasha kushnei,viatu na nguo ni zile zle nilizomaliza nazo chuo lol!
   
 4. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Pole sana mliosoma chuo cha CCM nasikia kule mnakatwa ndimi!!!
   
 5. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mimi nimesoma Dar fuu
   
 6. B

  Baby shangazi Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  usiombe yakukute, inaboa kshenz!
   
Loading...