Kwa wana MMU wote

Kwa wana MMU wote

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,704
Reaction score
9,079
Leo jumapili jamani kwa wale wakristo msiache kwenda ibadani,ibadani muhimu jamani ni hayo tu weekend njema
 
Leo jumapili jamani kwa wale wakristo msiache kwenda ibadani,ibadani muhimu jamani ni hayo tu weekend njema

Hivi kumbe leo Jumapili?

Ngoja nami nijiunge niwe mwana MMU.
 
We mwenyewe hujaenda kanisani.kushinda tu jf.au hum kuna ibada?...loading error....
 
''Kugonga'' kunaruhusiwa........?? Kwani ni dawa......
 
katika jina la YESU KRISTU ALIYE HAI naomba apona Amen.

Kumbe samtaimz unakuwaga na roho wa Mungu. Ukianza kuachia yale maneno yako, hata malaika huwa wanasepa.
 
Diamond kachukua tuzo saba ni kama UEFA imeenda OLD TRAFFORD.

Hapa ni shangwe tu
 
Back
Top Bottom