I mite be a cat/machine/human or any asset but as long as I live in TANZANIA I bliv I nid a change in my country,and it shud start within us..I bliv am in the right place...I av been reading this forum fo years now but I bliv ths I high tym that I join my contribution..I know 2getha we can and the ones outside the box u jst av to kill and eliminate them..Once u allow a trator or giv him/ha a second chance then u av jeopordise yo achievement to the aimed goal...
karibu bana.......lakini andika maneno yasomeke sawasawa kama unaandika kiswahili au kiingereza,
usiandike kama upo facebook.
Wajameni,
kuhusu namna alivyoandika huyu mgeni wetu nadhani mmemsahihisha na atakuwa ameelewa. Tuendelee na hoja yake sasa.
Karibu sana mgeni. Jisikie upo nyumbani. Kumbuka kupitia rules za hapa maana siku zote vigezo na masharti vinazingatiwa.
Pamoja na mambo mengine kama spoti, urafiki. Elimu, afya nk, tupo kwenye mkakati wa kuelimishana, kushauriana, kukumbushana na kupambana kulikomboa taifa letu kutoka kwa akina Mwita25, Faiza Foxy, Malaria sugu, Mzee, na wenzao.
Karibu sana