Kwa Wana JF wote; Nimewaza tu.

Kwa Wana JF wote; Nimewaza tu.

JF itakuja kuwa ni mtandao utakao ongoza kuwa na member wengi wenye.

1; HIV

2; Ndoa zisizodumu.

3; walio telekeza familia.

4; wakaidi na wasio shaurika.

Hapa kuna wasomi wengi ambao elimu waliyo nayo haojawasaidia chochote kwajinsi ya kutambua namna ya kuishi.

Licha ya usomi lakini tukiwa hapa wengi wanajiona kanakwamba wapo dunia tofauti na binadamu tofauti, wanasahau kwamba dunia ni ile ile binadamu ni wale wale kilichobadilika hapa ni ID tu.

Hayo yatatupata kwasababu wengi tukiwa hapa tunajisahau na kujiona tuko salama sana, kitu ambacho si kweli.

Na ninyi wadada mnao jiita wasomi, ambao elimu yenu inawapa kiburi na kujiona mnajua kila kitu, basi mtaishia kuliwa hapa, ndoa mtazisikia tu wenzenu wakisimulia,
Nyie kazi yenu itakuwa kugawa burudani tu.
Na zawadi yenu kubwa itakuwa ukimwi, kutoa mimba mwisho mharibu vizazi mkawe wagumba mbele ya safari huko.

Tunajiita wasomi na maGT wakati hatuwezi hata kuvaa nguo, tupo uchi sana hapa JF.

Kama unaakili timamu basi badilika kwa faida ya maisha yako.
Ahsanteni.
Mimi Simon mkuu subri makombora toka Kwa wahusika
 
Aisee. Rafiki umetoa ujumbe mujarab ila nilichogundua jf uzi ukiwa unakaribiana na ukweli lazima usipate wachangiaji.

Ila kama mie nimekuelewa sana rafiki. Ni ujumbe tu huu kusuka au kunyoa ni kwa yule anayeyasoma na kuona yana maana kwake.

Ubarikiwe sana aisee.
 
Sheria nirahisi wala siku nyingine usijiulize !!!. Niivi.

Ukweli hata ukiwa Mmoja ....Basi katika kuupinga huitajika hoja nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii LAKINI chakushangaza Bado unabakia Kua kweli
 
Nyauuu weee kimbia unakojua tuuu wala sitaki hapa !!!nendaaaaaaaa mama
a08d16029ca65481f08bf84a2c629968.jpg
 
JF itakuja kuwa ni mtandao utakao ongoza kuwa na member wengi wenye.

1; HIV

2; Ndoa zisizodumu.

3; walio telekeza familia.

4; wakaidi na wasio shaurika.

Hapa kuna wasomi wengi ambao elimu waliyo nayo haojawasaidia chochote kwajinsi ya kutambua namna ya kuishi.

Licha ya usomi lakini tukiwa hapa wengi wanajiona kanakwamba wapo dunia tofauti na binadamu tofauti, wanasahau kwamba dunia ni ile ile binadamu ni wale wale kilichobadilika hapa ni ID tu.

Hayo yatatupata kwasababu wengi tukiwa hapa tunajisahau na kujiona tuko salama sana, kitu ambacho si kweli.

Na ninyi wadada mnao jiita wasomi, ambao elimu yenu inawapa kiburi na kujiona mnajua kila kitu, basi mtaishia kuliwa hapa, ndoa mtazisikia tu wenzenu wakisimulia,
Nyie kazi yenu itakuwa kugawa burudani tu.
Na zawadi yenu kubwa itakuwa ukimwi, kutoa mimba mwisho mharibu vizazi mkawe wagumba mbele ya safari huko.

Tunajiita wasomi na maGT wakati hatuwezi hata kuvaa nguo, tupo uchi sana hapa JF.

Kama unaakili timamu basi badilika kwa faida ya maisha yako.
Ahsanteni.
Ndo tabu ya kuwa domo zege.umetongoza kisha wakakupanchi,halafu waleta maneno mingi kama charahani."pambana na ushauri wako".nakuombea nusu salama hiyo namba 1 hadi 4 uvipate vyote kwamba pamoja
 
Tatizo watu ni wabishi sana !!!.. ila huo ndo ukweli .
ukweli mchunguu,.nawaona nawaona baadhi ya watu wanavyojitahidi kujisahaulisha password zao za JF wasione madongo lakini hata kwa jirani zao watachungulia tuu,..sh'kamoo JF
Aisee. Rafiki umetoa ujumbe mujarab ila nilichogundua jf uzi ukiwa unakaribiana na ukweli lazima usipate wachangiaji.

Ila kama mie nimekuelewa sana rafiki. Ni ujumbe tu huu kusuka au kunyoa ni kwa yule anayeyasoma na kuona yana maana kwake.

Ubarikiwe sana aisee.
 
ukweli mchunguu,.nawaona nawaona baadhi ya watu wanavyojitahidi kujisahaulisha password zao za JF wasione madongo lakini hata kwa jirani zao watachungulia tuu,..sh'kamoo JF
Hahahahaa. Ukweli haujawahi kuwa mtamu aisee.

Ila kidogo kidogo dawa inaingia hata kama kikombe kimoja kitanywewa kwa siku tatu ila mwisho wa siku tayari inakuwa imetibu. Hahahaaaa

Ila mumu we chauchokozi ujue.
 
Akuu shostiii unanthingizia tuu,..mwambie Putin atafute kijiwe ameizing krismas hii tukajipongeze sisi tusiokuwa na makandokando na JF teh teh
 
Back
Top Bottom