Kwa wana jf waliowahi kula ban

Ushirombo
Wozoza
TheBLue
Azadracta
Miganiko
Muumini

Naanza na 6 hizi
 

mkuu post lako limenipandisha mzuka wa kutafta experience ya ban. Mods naomba ban moja baridi.
 
Yaani 17 tu? Hahahahaaa mazee bado sana. Mi mwenzio nshasahau hadi idadi. Ngoja niwacheki Invisible na Farida wanisaidie kuzihesabu halafu ntakuja kuziweka hapa.
... Farida:whistle:, the same same same farida:wacko: ? daym :banplease:
or i will:boom:
 
Huko ndo usiseme kabisa...teh teh teh....

Haya here we go....

Neemah
queenkami (lol)
Sasha Fierce
Carrie
Da Huu
Mwantunu
Tabia
Hidaya
Jazina
Melanie
Monique
Shinunu
Manka
Juliet
Claudette

Mbona sijawahi kuona zikiwa hewani mkuu?
 
mkuu post lako limenipandisha mzuka wa kutafta experience ya ban. Mods naomba ban moja baridi.
kamanda ban ina raha na karaha zake.... ila ukiwa na povu unaweza kubandua key kwenye keyboard yako

dawa ya ban anayo masa na NN

we mtukane mtu humu ndani tena hasa invible uone utakavyoshukiwa
 
Huko ndo usiseme kabisa...teh teh teh....

Haya here we go....

Neemah
queenkami (lol)
Sasha Fierce
Carrie
Da Huu
Mwantunu
Tabia
Hidaya
Jazina
Melanie
Monique
Shinunu
Manka
Juliet
Claudette
kudadadeki/............. naona sasambua imeanza

washenzi kweli nyie
 
Mbona sijawahi kuona zikiwa hewani mkuu?

Most of those IDs are strategic, if you know what I mean.

Has it ever dawned on you that in actuality I never get banned? The head honcho himself has given up on me.

With his own words he told me banning is not a solution for my mischief. I think eventually he just got tired and decided to let me be.

I mean, I used to be a bad ass. Back in the day I was so antagonistic. I used to pick fights with all and sundry. Scrapping was my middle name.

But now I have mellowed.
 
Leo naona mods wamepata kazi ya ID merger

khe khe kheheheheeeeeeeeeeeeeeeeeeπŸ˜›ound:πŸ˜›ound:πŸ˜›ound:πŸ˜›ound:πŸ˜›ound:πŸ˜›ound:πŸ˜›ound:πŸ˜›ound:πŸ˜›ound:πŸ˜›ound:πŸ˜›ound:πŸ˜›ound:
 
hiyo yenye red mkuu, avatar yake inanitisha kidogo ukizingatia wewe ni Mchungaji

Ndiyo maana nzima ya kuwa na multiple IDs

Zingine hizi

mTz,
Joji
Jobobabu
Idrisa Kishapu
Mwatumu
Kasiki
Dulle Dulle
Siwema
Amokile
 
hI guys its very painfull tena kama Dena wangu simuoni inakuwa hatari kabisa! Kwangu mie kwanza ni Dena then mengine yatafuata. Jamani inauma sana kwenye Ban umekwenda mbali sana.... vip kuhusu topic yako kuwa moved?

Misin u Dena!!!! please follow terms and conditions nisije kukosa kuuona ushungi wangu!!!!
 

Noted!
 

Ni PM nikuambie Dena ni wa nani usije ukala BAN maisha
 
kibaya ni ile tu nilipo kua nalog in nikakutana na ujumbe "your are banned due to the use of..."!
Duh,it was bad!

Ila ban zingine hua naziomba mwenyewe kwa kua hua nataka niwe busy na mambo mengine,
so hata nikiwa nataka kukoment ile kushindwa kufanya hivo kunaokoa mda wangu!

BAN ni nzuri when you need it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…