That's the spirit!Nina ID mingi kwa hiyo hakuna ninachomiss!
Wengi wanafanya hivyo!Binafsi nadhani ntatumia huo muda kupumzika...ila BAN mi sipati ng'o!Who cares?Ingia na ID nyingine![/QUOT
Hahaa Lizzy Imagine kama wewe umelijiunga tangu 2009 halafu ule BAN la miezi 6 utakuja na ID nyingine?
you go and visit other houses that welcomes you with both hands.......you tell them why they locked you out of their house.....niliwahi kula ban kwa kusema .....hali halisi ni kubenea......[/b]so nikapita into other house ...they welcomed me and enjoyed a lot the life out there...!
sijakuelewa hapa mkuu[/color][/size]
UNATEMBELEA FORUMS NYINGINE NA WANAKUKARIBISHA NA KUHESHIMU MICHANGO YAKO......HATA UNAPOTOA HOJA KINYUME NA MITAZAMO YAO...(kwa JF ni KUTOA HOJA kinyume na CHADEMA) HUJIBU KWA HOJA ZILIZOJAA USHAWISHI WA HALI JUU NA UPANA....!
WAKIJIITA GREAT THINKERS NITAWAELEWA
Mimi sikuweza kuvumilia ingawa kifungo changu kilikuwa kifupi...Hello wana Jf
Nilikuwa naomba kushare na nyinyi hisia zenu, hasa kwa wana JF ambao wameshawahi kufungiwa(BAN) humu jamvini :-
nina mambo machache nataka kujua kutoka kwenu
1. ulikuwa unajiskiaje ulipokua ukiiingia kama guest user wakati ni member
2. ulikuwa unajisikiaje unapokua na kitu, jambo, taarifa muhimu unataka kuiibandika lakini unajikuta upo kifungoni?
3. ulikuwa unajisikiaje unapoona Member mwingine anakuchokoza kwa makusudi na unatamni kujibu lakini unajikuta upo jera?
4. ulikuwa unajisikiaje pale ambapo member wenzako walipokuwa wanaku miss na kufikia hata hatua ya kukuombea ufutiwe adhabu na Mods?
Asanteni natumaini kusikia hisia zenu, hata kwa wale ambao hawajawahi kupewa BAN watajisikiaje siku ambayo watapewa BAN?