Kwa wana hisabati tafadhali tatueni hili.

Kwa wana hisabati tafadhali tatueni hili.

Searching......98%..

Network failed!

Near Screensever IFM
 
We waona jibu ni lipi kwani??!
 
We waona jibu ni lipi kwani??!

Mimi naona jibu ni 1[SUP]0 [/SUP]lakini taasisi ya elimu Tz wao jibu lao ni 100[SUP]0 [/SUP]kwa kifupi mpaka sasa wewe ndio umejitahidi kujibu swali.
 
Mchoro nimeshauchora ndio nikakumbuka kuwa mambo ya sine, cosine na tan nimesahau kabsaaaa!! Noma kweli.
 
Hilo swali lipo kwenye course book ya form three. Ngoja tusubiri mathelogist wadadavue mi kalisha nizungua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom