All the best,
Najua wale wa dini ile watakuwa wameumia ukipata..michango yako JF mm!
Hata hivyo sisi underground tukikushtukia siku zako zitakuwa chache
Si unajua mambo ya kandahar
Tanzania hatuwezi fika Kandahar maana sisi tumechanganya sana ndo maana nimeweza pata mke Mzenj
Nina lazimika kuweka bayana nia yangu ya kukomboa jimbo uchaguzi mkuu ujao. Nina amini raisi bora atatoka chama cha upinzani. Ni muda mrefu CCM wamekuwa madarakani lakini maendeleo ya nchi yazidi kushuka. Ufisadi usio na kina unazidi kushamili, rushwa na kupotea kwa utaifa vinazidi kushika kasi. Mikakati yangu ni kuimalisha CHADEMA kwa ngazi ya Kaya kwa kaya. Jimbo langu lina kata 17, Sekondari za Kata 4, seminary secondary school 1, shule 2 za serikali za sekondari. Hizi shule nitazitembelea na kuwapa misaada ya hali na mali ikiwa ni pamoja kujitolea kufundisha ili nifahamike zaidi kwa wanafunzi ambao ndiyo wapiga kura 2015 hasa elimu ya uraia.
Nitaanzisha mashina ya chama kwenye kata zote 17, nitawezesha wapatikane watendaji kwenye kila kata na kufungua ofisi pamoja na kununulia baiskeli viongozi wote 17. Nitatoa ujila walau kila mwezi wa Shs 10,000 kwa kila kiongozi. Ni hela ndogo ila uwezo wangu si mkubwa na mimi si fisadi. Kila mwaka kutakuwa na mashindano ya kugombea Ng'ombe na jezi kwa vijana football na Netball. Mashindano ya mbio riadha na baiskeli. Ninaandaa manifeso ya uchaguzi ujao nikilenga matatizo ya wananchi wangu na sulihisho zake, sitoweka hapa JF maana najua itanakiliwa na CCM na kurudifiwa.
Ninampango wa kuwasiliana na Makao Makuu ili kadi na viongozi wa juu wa chama waanze kampeni mapema kuandaa wananchi wangu kulinda kura zitoshe 2015.
Pipozi powa! Peoples Power ! Tanzania is for Changes
Rev Masa K
Hujawahi nipa thanks mkuu! Hebo bonyeza kitufe

kwanza, nakupongeza mchungaji kwa hatua ambazo unataka kuanza kuchukua, hongera sana kwa hilo. Pili, napatwa na wasiwasi ikiwa kweli utaweza kuingia darasani na kutoa elimu ya Uraia kwani sijui keyboard yako haina herufi *r* au vipi! Maneno Kushamili, kuimalisha, na ujila yanathibitisha utafundisha Ulaia na Haki za Mpiga Kula...
tatizo ukiukwaa ubunge ,utahakikisha hiyo hela yote inarejea tena kwa haraka,tunza hesabu zako vyema,maana kama unataka kutowa na kusaidia kwanini usifanye kama Sombode ,badala yake unaweka mikakati ya kugombea ,aloo hii ni hatari ,na kama ukichimba sana inaonekana kama unatanguliza rushwa !!
Hii nimeipenda ukiwa tayari mkuu tujulishe, juzi nilikuwa huko jamaa wana shangaa kweli juu ya ushindi wa JK, ingawa wengi hawajui hata wako mkoa gani....Ngh'wana Makanza!
Nakushukuru sana, Wasukuma wameamka sana kisiasa hawataki porojo! Ndo sababu nimeazimia kuboresha maeneo ya kule kwetu kwa kutumia malighafi watu na vitega uchumi vilivyo ndani ya uwezo. Tokea mwanzo sera zangu ni kuwapa mbinu waweze kuwa na maisha bora. Kofia na Tishirt baada ya miaka 5 hakuna tija. Nina utaalamu wa kufyatua na kuchoma tofari Thanks to National service 1991-2. Nitashirikisha wananchi tubadili nyumba zao kwa nguvu zao. Kama unawo anuwai kuhusiana na maeneo ya kule kwetu basi wewe ni PM
Masa K