Wile GAMBA
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 1,809
- 595
Soyo ccm daima, umesoma huo ujumbe, huo ujumbe ni zaidi ya CCM, huo ni uzalendo, Tanzania kwanza, vyama baadae, amani ya nchi hii ina thamani zaidi ya imani zetu za kidini, CCM ili kuja baada ya tanu hivyo ata CCM ianweza kubadilika ikaitwa vyovyote, kuwa mzalendo zaidi ya kunywa maji y abendelaCcm daima