Kwa walioziponda Bombadier na kuziita pangaboi hii imekaaje ?

Mbona unawasiwasi mkuu kwenye maneno Yangu nimetaja neno kuibiwa? nimekwambia ingia ujue mengi kuhusu hizo kitu sijataja kuibiwa mkuu....Uwe na amani
Hahaha sawa mkuu itakua simu yako haina screenshot. Ila acha kua dragged na mange
 
Tatizo hata husomi. Kila kitu kipo kwenye mtandao. Bei na Wateja wake zipo wazi kwenye mtandao. Idadi ya ndege zilizobaki zipo kwenye mtandao. Haya tuambie basi ukweli wako.
Watu wa aina hiyo ndiyo mtaji mkubwa wa ccm hivyo usiwashangae sana mkuu
 
Ingia kwenye website ya hao wauzaji wa hizo ndege alafu uone inauzwa Bei gani then rudi huku uone umeambiwa Bei gani....
Hivi ukinunua Almasi mgodini unafikiria thamani yake NI sawa Na bei ya soko la dunia?
Thamani ya kwenye website Na mpaka ifike DAR lazima iwe tofauti.
 
Hivi ukinunua Almasi mgodini unafikiria thamani yake NI sawa Na bei ya soko la dunia?
Thamani ya kwenye website Na mpaka ifike DAR lazima iwe tofauti.
Sasa ndiyo iwe karibu na bei ya kununulia?
 
Pori lipi? Tatizo lenu kukariri mambo.....ungekuwa mkweli ungesema na pori kabisa ili watu waende huko....
PORI ambalo ccm wanatumia zaidi kuumizia watu ni mabwepande ambako mi sijaona michicha....
HUNA UELEWA KUWA KUNA KITU KINAITWA LISHE BORA KWA SABABU YA KUKARIRISHWA....Kwako wewe mtu akila mihogo amekula mlo, akila madafu basi umemaliza kazi......Nyie ndo watu hatari sn nchini coz hamuongea kitaalamu bali mihemko na kichama na kikabila ambayo haina faida yoyote.....

Wewe ng'ombe hebu fungua hii link upate uelewa alafu uje utubu kwa kuandika upumbavu wako:
Most Malnourished Countries In The World
 
Tatizo hata husomi. Kila kitu kipo kwenye mtandao. Bei na Wateja wake zipo wazi kwenye mtandao. Idadi ya ndege zilizobaki zipo kwenye mtandao. Haya tuambie basi ukweli wako.
hayo mambo yameshajadiliwa yote na ufafanuzi kutolewa tafuta uzi wa rafiki yako salary slip. KWANZA hao waliouziwa hizo ndege kwa bei hiyo ya chini na hizo ndege ziliuzwa kabla haya ya sisi kununua. Usisubiri unaowaamini waandike vitu ndio uvisimamie fuatilia mwenyew
 
Ni kweli kabisa, kiwete hawezi kuingia kwenye mashindano ya riadha
 
Zile wataziita pangaboi. Hii watakwambia sio kipaumbele kwa sababu haipondeki. Mwingine umeshamsoma hapo juu kakosa pote kakimbilia quatation za mfariji wake Mange eti Tunaibiwa inanunuliwa kwa bei isiyo halisi.

kweli bado tunasafari ndefu...
kwani hii za mfumo wa jet zishanunuliwa na kufika tz au ni ile ya zamani tuliyopewa na mchina baadae akatupokonya ikawa inaonekana comoro
 
Kwa hiyo huwezi fanya maendeleo nyumbani kwako mpka umalize matatizo ulionayo?
Binadamu dizaini yako ni wafu wanao tembea.
 
Nyie ni kabila gani na chama gani hamna huruma na watz?..................Nipe uzoefu wako wa kupakatwa mbwa wewe....Umejuaje kwamba kinondoni au magomeni wanapakatana?....Wakuja wewe unaonesha huna malinda km koromije mwenzako....
turudi kwny mjadala mkuu
 
huko ubungo si mbunge wako alisema anawaletea maji na ukamchagua na akashinda, sasa unalalamika nini? na katibu mkuu wizara ya maji ni ukawa mwenzenu simwambie, sisi inatuhusu nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…