Tungekuwa na utaratibu wa Magharibi ningesema tofauti. Ila kwetu sisi wabongo na vijitabia vyetu vya kutoheshimu ndoa za watu, namuunga mkono mke.
Mleta mada akae na mzazi mwenzake wapange jinsi ya kumlea mtoto bila kumsababishia matatizo ya kisaikolojia. Ila katika mchakato huo, wawe waangalifu wasifunje ndoa.
Hakuna ruhusa hata mara moja, mama wa mtoto kujileta leta nyumbani kisa ni kuja kumwona mtoto!
Ingekuwawewe mtoro ungeipendahii mpwaUshauri mzuri sana huu. Soon nitakuwa kwenye position ya mleta mada. Moja ya Jambo ambalo limekuwa lina niumiza kichwa ni hili
Mzee wangu alinipa ushauri kama huu wa kumpeleka mtoto boarding lakini boarding kwa mtoto mdogo nayo ni tatizo kidogo. Utashindwa kumfuatilia maendeleo yake kwa ukaribu ukizingatia walimu wenyewe hawa wa siku hizi ni tabu. Lakini pia wakati wa likizo bado tatizo litakuwa palepale.
Mimi Nadhani kama unaishi na wazazi wako Au shangazi yako mkoa mmoja mtoto awe anapelekwa Huko halafu mama yake anaenda kuonana naye. Kuwe na kuna ratiba maalumu,Mfano kila Jmosi.
Kimsingi mke wako yupo sahihi,huyo mama wa mtoto wako hatakiwi kabisa kugusa kwenu wala mtoto hatakiwi kwenda kwake maana atamjaza ujinga.
Na mwingine akijifanya anaenda kusalimia mtoto kumbe anahamia taratibu?
....wala mtoto hatakiwi kwenda kwake maana atamjaza ujinga.
Ushauri mzuri sana huu. Soon nitakuwa kwenye position ya mleta mada. Moja ya Jambo ambalo limekuwa lina niumiza kichwa ni hili
Mzee wangu alinipa ushauri kama huu wa kumpeleka mtoto boarding lakini boarding kwa mtoto mdogo nayo ni tatizo kidogo. Utashindwa kumfuatilia maendeleo yake kwa ukaribu ukizingatia walimu wenyewe hawa wa siku hizi ni tabu. Lakini pia wakati wa likizo bado tatizo litakuwa palepale.
Mimi Nadhani kama unaishi na wazazi wako Au shangazi yako mkoa mmoja mtoto awe anapelekwa Huko halafu mama yake anaenda kuonana naye. Kuwe na kuna ratiba maalumu,Mfano kila Jmosi.
Kimsingi mke wako yupo sahihi,huyo mama wa mtoto wako hatakiwi kabisa kugusa kwenu wala mtoto hatakiwi kwenda kwake maana atamjaza ujinga.
Umenena vyema kuna post ya Husninyo hapo ameeleza hili
mpaa heri yamakampya jamani,,shem husinyo na wote ukosalimia niko ugangda narekebisha amani jeshini kumechafuka jamaakaanza fukuzafukuza hatawqliorudi nao anaarest wasiende hatachooni mbaya anaitaji kuongeanao sasa una,uarrest mutu alafu unataka ongea nae tena bila mwanasheriawake loh niko namaji ya tbjoshua najqribukumwaga hukujeshini
Asante my dear.Unajuwa hizi kesi hazifanani kama mwanamke uliyezaa naye hajaolewa na mwanaume mwingine na angalau anayamudu maisha yake mpe mtoto akae naye wewe utatoa matunzo, ni uselfish uliopitiliza mtoto kukosa mapenzi ya wazazi wake, inabidi ni lazima mmoja wenu akae na mtoto, binafsi siwezi kukubali mama yangu kulea watoto wangu, alishanizaa nimekuwa kazi yake imekwisha kama ng wajukuu watamtembelea weekend na kuspend naye likizo inatosha na yeye wale good time na mume wake siku zao zilizobaki.
Unajuwa hizi kesi hazifanani kama mwanamke uliyezaa naye hajaolewa na mwanaume mwingine na angalau anayamudu maisha yake mpe mtoto akae naye wewe utatoa matunzo, ni uselfish uliopitiliza mtoto kukosa mapenzi ya wazazi wake, inabidi ni lazima mmoja wenu akae na mtoto, binafsi siwezi kukubali mama yangu kulea watoto wangu, alishanizaa nimekuwa kazi yake imekwisha kama ng wajukuu watamtembelea weekend na kuspend naye likizo inatosha na yeye wale good time na mume wake siku zao zilizobaki.
Asante my dear.
Huwa nashangaa sana mtu yeyote anaemnyang'anya mzazi mwenzie mtoto alafu anaenda kumtupa sijui kwa bibi au shangazi yake. What for?! Kama mtu hawezi kuishi na mtoto bila migogoro (mf huyu jamaa mtoa mada) aache mtoto aishi na mzazi mwenzie. Maana wanapofikiri wanamkomoa mzazi mwenza wanamkomoa mtoto zaidi wakati hakuomba kuwa kwenye situation aliyopo.
Nimeiona ila nikakudondokea wewe....
Husninyo siku hizi hanisalimii vizuri aisee....lol!!
QUOTE]
babu nikikusalimiaga vizuri unadai nakuchokoza halafu unataka kunisemea kwa bibi. mkubwa mzima bado unashtaki!
Hahahahahahahahahahahah,.....lini tena nimekusemea kwa bibi? Au hutaki nikukaribishe uje kumsalimia?
Haya bwana, nitakutafuta tumalizane/tuyamalize.
Asante my dear.
Huwa nashangaa sana mtu yeyote anaemnyang'anya mzazi mwenzie mtoto alafu anaenda kumtupa sijui kwa bibi au shangazi yake. What for?! Kama mtu hawezi kuishi na mtoto bila migogoro (mf huyu jamaa mtoa mada) aache mtoto aishi na mzazi mwenzie. Maana wanapofikiri wanamkomoa mzazi mwenza wanamkomoa mtoto zaidi wakati hakuomba kuwa kwenye situation aliyopo.
Hahahahahahahahahahahah,.....lini tena nimekusemea kwa bibi? Au hutaki nikukaribishe uje kumsalimia?
Haya bwana, nitakutafuta tumalizane/tuyamalize.
nikaribishe babu, mjukuu wako kakumiss sana ujue.