Mimi ni mwanaume nilibahatika kupata mtoto wa kiume nje ya ndoa.
Sasa miaka 10 baadae nimeoa na nimemchukua huyu mtoto wangu naishi naye.
Sasa mke wangu ameniwekea masharti ambayo nafikiri ni magumu kutekelezeka. Naamini kuwa mwanamke niliye zaa naye ana haki ya kumuoma mtoto wake kila anapohitaji kufanya hivyo.
Sasa mke wangu hataki huyu mama mtoto afike nyumbani kumuona. Hataki mtoto aende kwa mama yake. Anataka mama mtoto akitaka mtoto tumtume housegirl ampeleke mtoto hoteli foleni halafu wakimaliza kuongea arudi naye.
Hali hii imeniingiza kwenye migogoro maana mama mtoto anaona namnyanyasa na upande mwingine mke wangu anaona pia namnyanyasa.
Hebu niambieni what is the beat way ku deal na hii situation?

ongeza mwingine nje ya ndoa
Siyo lazima kuchangia kila thread, grow up.
kuwe na utaratibu maalum wa kuumuona mtoto, mwingine anajifanya anataka kuona mtoto kumbe ndio anajileta leta kijanja. ila kama mazingira yanaruhusu bora mtoto alelewe na mama yake mzazi tu.
Mama mtoto ana haki ya kumuona mwanae ukizingatia mtoto ameishi kwa mama muda mrefu nae anakuwa amemkumbuka mama...
Sasa hapo ni kumuweka sawa huyo mama mtoto kipi kifanyike ili aweze kumuona mtoto kwa uhuru.... Lakini pia ni vyema ukamsikiliza mkeo katika hili nadhani fuata ushauri wa Matola hapo
heri ya mwaka mpya shem
Rudi ukaoe ndaniyandoa mkewako nihuyo uliemwacha tamaazinatuumiza ukweli damuaitokuacha name amani namajonziyahuyumama ushauri tuMimi ni mwanaume nilibahatika kupata mtoto wa kiume nje ya ndoa.
Sasa miaka 10 baadae nimeoa na nimemchukua huyu mtoto wangu naishi naye.
Sasa mke wangu ameniwekea masharti ambayo nafikiri ni magumu kutekelezeka. Naamini kuwa mwanamke niliye zaa naye ana haki ya kumuoma mtoto wake kila anapohitaji kufanya hivyo.
Sasa mke wangu hataki huyu mama mtoto afike nyumbani kumuona. Hataki mtoto aende kwa mama yake. Anataka mama mtoto akitaka mtoto tumtume housegirl ampeleke mtoto hoteli foleni halafu wakimaliza kuongea arudi naye.
Hali hii imeniingiza kwenye migogoro maana mama mtoto anaona namnyanyasa na upande mwingine mke wangu anaona pia namnyanyasa.
Hebu niambieni what is the beat way ku deal na hii situation?
mpaa heri yamakampya jamani,,shem husinyo na wote ukosalimia niko ugangda narekebisha amani jeshini kumechafuka jamaakaanza fukuzafukuza hatawqliorudi nao anaarest wasiende hatachooni mbaya anaitaji kuongeanao sasa una,uarrest mutu alafu unataka ongea nae tena bila mwanasheriawake loh niko namaji ya tbjoshua najqribukumwaga hukujeshininashukuru tumeuona heri kwako pia.
Mpeleke mtoto boarding school visiting day Mama yake ataenda huko.
Ila una mtihani mgumu sana kimaisha wengi hapa hawaelewi ni wepesi tu kukushauri waonavyo.
Mtoto anahitaji kumjenga kisaikolojia kwa nini hauishi na Mama yake. Pole sana.
mpaa heri yamakampya jamani,,shem husinyo na wote ukosalimia niko ugangda narekebisha amani jeshini kumechafuka jamaakaanza fukuzafukuza hatawqliorudi nao anaarest wasiende hatachooni mbaya anaitaji kuongeanao sasa una,uarrest mutu alafu unataka ongea nae tena bila mwanasheriawake loh niko namaji ya tbjoshua najqribukumwaga hukujeshini