Kafuatilie Majibu Ya Barua Yako...Hawapigagi Simu, Unaifata Mwenyewe.Naomba kupatiwa uzoefu kwa wale waliowahi kudisco Chuo kikuu cha Dar Es Salaam, hasa kwa wale kwenye cases tofauti ya kushindwa kufikisha GPA.
Mimi sijafanya mtiani wa Semester one, Kwa kukosa ada, Hii ikanaifanya niamue Ku postpone mpaka semester ya pilii, Sasa kama tunavyojua mwaka wa masomo ndio huo unaisha na majibu yangu bado sijapata, wasiwasi wanguu ni kama ntaandikiwa DISCO, naomba kuuliza
(I) kwa case kama hii naweza kuwahi kuanza kama freasher October, ? Au nitakuwa tayr nimedisco ?
(I) ikiwa umeendikiwa Disco na wakati umeshaandika barua ya Ku postpone semester unaweza Ku appeal hiyo disco?
Na mambo mengine wakuu
Ahsanteni sana
Natokea
University of Dar es salaam School of Law (UDSoL)
Sina jibu la kukupa ila Nnapoona Law ya UDSM namkumbuka Profesa kutoka jalalani. Angalia na wewe usije kuwa kama profesa wa jalalani maana wote mmesoma JALALANI.Naomba kupatiwa uzoefu kwa wale waliowahi kudisco Chuo kikuu cha Dar Es Salaam, hasa kwa wale kwenye cases tofauti ya kushindwa kufikisha GPA.
Mimi sijafanya mtiani wa Semester one, Kwa kukosa ada, Hii ikanaifanya niamue Ku postpone mpaka semester ya pilii, Sasa kama tunavyojua mwaka wa masomo ndio huo unaisha na majibu yangu bado sijapata, wasiwasi wanguu ni kama ntaandikiwa DISCO, naomba kuuliza
(I) kwa case kama hii naweza kuwahi kuanza kama freasher October, ? Au nitakuwa tayr nimedisco ?
(I) ikiwa umeendikiwa Disco na wakati umeshaandika barua ya Ku postpone semester unaweza Ku appeal hiyo disco?
Na mambo mengine wakuu
Ahsanteni sana
Natokea
University of Dar es salaam School of Law (UDSoL)
Ukishaandika barua ya postpone tu tayari umesimamisha chuo! Hapo hat ukiomba tena system ya Bodi y vyuo itakugomea kwamba upo chuoni. Fatilia majib y barua y a resume uanze chuo upyaNaomba kupatiwa uzoefu kwa wale waliowahi kudisco Chuo kikuu cha Dar Es Salaam, hasa kwa wale kwenye cases tofauti ya kushindwa kufikisha GPA.
Mimi sijafanya mtiani wa Semester one, Kwa kukosa ada, Hii ikanaifanya niamue Ku postpone mpaka semester ya pilii, Sasa kama tunavyojua mwaka wa masomo ndio huo unaisha na majibu yangu bado sijapata, wasiwasi wanguu ni kama ntaandikiwa DISCO, naomba kuuliza
(I) kwa case kama hii naweza kuwahi kuanza kama freasher October, ? Au nitakuwa tayr nimedisco ?
(I) ikiwa umeendikiwa Disco na wakati umeshaandika barua ya Ku postpone semester unaweza Ku appeal hiyo disco?
Na mambo mengine wakuu
Ahsanteni sana
Natokea
University of Dar es salaam School of Law (UDSoL)
Hajui kuna ambao hawakudisco ila wana msaada, awasubiri waliodisco kwanza wana hasira zao.Hujui kuomba kuelekezwa we dogo sasa subir waliowahi kudisco watakuja kukuelekeza
Naomba kupatiwa uzoefu kwa wale waliowahi kudisco Chuo kikuu cha Dar Es Salaam, hasa kwa wale kwenye cases tofauti ya kushindwa kufikisha GPA.
Mimi sijafanya mtiani wa Semester one, Kwa kukosa ada, Hii ikanaifanya niamue Ku postpone mpaka semester ya pilii, Sasa kama tunavyojua mwaka wa masomo ndio huo unaisha na majibu yangu bado sijapata, wasiwasi wanguu ni kama ntaandikiwa DISCO, naomba kuuliza
(I) kwa case kama hii naweza kuwahi kuanza kama freasher October, ? Au nitakuwa tayr nimedisco ?
(I) ikiwa umeendikiwa Disco na wakati umeshaandika barua ya Ku postpone semester unaweza Ku appeal hiyo disco?
Na mambo mengine wakuu
Ahsanteni sana
Natokea
University of Dar es salaam School of Law (UDSoL)
Wakikuandikia DISCO, na umewasha peleka barua ya kuhairisha uamuzi unaweza kutenguliwa?Fuatilia barua yako ya postponment. Hakikisha unaipata. Kama kwenye inaonyesha umedisco kwa sasa wala isikupe shida. Baada ya kupata barua hayo yote yataisha.