Kwa waliotumia WINDOWS 95.

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,062
Kama wewe ni KITHEE yaani umekula chumvi nyingi na kugonga sana Keyboards za computer na zaidi zaidi kufanya Installations kwa kutumia DISC A zenye 1.44mb, utakuwa unaukumbuka huu wimbo. Hebu rudi uone ulikotoka ni mbali kiasi gani. ENJOY.

 
Last edited by a moderator:
Kinachonifurahisha kwenye wimbo huu ni kuona watu wako busy na maisha ya New Yorks na kama sikosei Brooklyn. Na zaidi ni hii tabia ya kufungulia maji na kuloweshana wakati wa jua kali la Summer. Hii unaweza kuiona kwenye film ya Spike Lee ya DO THE RIGHT THING. Film hii ni muhimu sana kwa Mastar wawili yaani Martin Lawrance na Rosie Perez kwani ndiyo walikuwa wakicheza film kwa MARA YA KWANZA. Kama hujaiona basi unaweza kuipitia. Ni ya zamani lakini kwangu mie hadi leo mtu unaangalia tu. Yes, FIGHT THE POWER.


ANGALIA trailer
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom