1. Kwanza kabisa wakati tunaanza kusoma kada ya afya ilikua ajira uhakika.
Kwahio personally ukiachana na ndoto za huko utotoni ilikua kisa ajira (lakini mambo yame-change)
2. Kwa anayetaka kusoma .aje tu asome maana hii kada bado demand ni kubwa sana hata kama system imekataa kuajiri lakini bado manurse ,ma-dr na wafamasia wanahitajika sana..
Pia kwa wale wa imani unashiriki drect kwenye ukombozo wa mtu kimwili.
3. Mipango ni kuendelea kupambana kusaidia watu wengi kadri ya uwezo na elimu yangu huku nikiwa naendelea kujijenga vizuri kiuchumi ili kukishawishi kizazi kijacho maana halisi ya utumishi wa afya aliyoikusudia Socrates ..