Nawaombeni kwa yeyote anayefahamu aliko kijana anayeitwa mmassy jerome ambaye alisoma Udom na alimaliza mwaka 2011.Huyu jamaa amewahi kuwa Spika wa bunge pale,mbunge na mwenyekiti wa kamati fulani.Naomba kufahamu aliko na namba yake ya simu kwa sababu namtafuta kwa gharama yoyote.Ukiwa unafahamu aliko au namba yake nitumie via 0713734894