masoud muuza pipi alienda wapi?
Hahaa...umenikumbusha mbali sana. Kulikuwa na Mangi muuza chips. Chips zake zilikuwa zinaanzia shilingi 20...alikuwa anapunja balaa... yaani ukizubaa tu umewekewa vipande 10 tu vya chips. Ikifika muda wa mapumziko lazima mjazane kwa Mangi. Maembe ya shilingi 5 na 10 na mpira wa chandimu kwenye uwanja wa lami. Mwalimu Julius a.k.a J.J, Mwalimu Mwalongo, Shirima. Nasikia mwalimu James amefariki (R.I.P). Halafu ile bendi ya asubuhi ilikuwa imetulia sana.
masoud muuza pipi alienda wapi?
Namkumbuka mwalimu Ngido,Msaki,Asha,Kayombo,Kimathi (a.k.a mama Kelvin)
Juice kwa cha upepo pale karibia na geti....siku ya dini jtano tunaelekea st joseph,Sambusa za caritas nazo we acha.
Jamani mwalimu mushi yupo???
Ooh, st. jopeph...nakumbuka kuna wakati nilikuwa lazima nitimbe misa ya asubuhi kila siku kabla ya parade...Kitu muhimu tulichokosa ilikuwa kiwanja kwaaajili ya michezo
Habari yenu wanaJF,
Kama kuna wanaJF waliosoma shule ya msingi Forodhani na kumaliza 1992 au 1993 tujulishane.Nakumbuka mwalimu alikuwa mwalimu Mbuya,kuna baadhi ya walimu kama mwalimu Julius dah huyu alikuwa anachapa bakora hatari.
Kulikua na mwalimu James huyu alikuwa kama bondia,mwalimu Manyama, mwalimu Matata hao ni baadhi ya maticha tu.
Kitu kingine nachokumbuka ni ile mihogo ya kule baharini mnaikumbuka? Kingine ninachokumbuka tulikuwa tunafanya somo la ushonaji kulikuwa na sista mmoja wa kijerumani mfupi alikuwa mkali kama pilipili.
Hapo shuleni hapo kila Jumatano au Ijumaaa ilikuwa inakuja gari la matunda tunajisevia.
Elimu ilikua bora ada ilikua chini.Nakumbuka hadi huyu mtoto wa mkulu sasa hivi mwenye mambo mengi tulikuwa naye hapo shule.
Kwa kusema ukweli naikumbuka sana Forodhani shule ya msingi, kingine nachokumbuka wapinzani wetu wakuu walikuwa bunge shule ya msingi.
Kuna wanafunzi kama Alex Kitomari (RIP),Walter Mazula (RIP) na wengine baadhi yao wako mpaka leo.
Kama ulisoma hapo changia kumbukumbuku zako na wewe.
Naimis shule hiyo...never be the same again.
Natanguliza salamu.
Namkumbuka mwalimu Ngido,Msaki,Asha,Kayombo,Kimathi (a.k.a mama Kelvin)
Juice kwa cha upepo pale karibia na geti....siku ya dini jtano tunaelekea st joseph,Sambusa za caritas nazo we acha.
Jamani mwalimu mushi yupo???
Ha ha ha daaaah Umenikumbusha mbali sana.....
Namkumbuka mwalimu Ngido,Msaki,Asha,Kayombo,Kimathi (a.k.a mama Kelvin)
Juice kwa cha upepo pale karibia na geti....siku ya dini jtano tunaelekea st joseph,Sambusa za caritas nazo we acha.
Jamani mwalimu mushi yupo???