Jessy Joseph
Member
- Feb 23, 2017
- 55
- 26
Habari za siku wapendwa.. Nna shida na fundi nguo, awe anajua kushona mishono yote pia aweze kunichagulia mshono kulingana na umbo langu, asiwe na bei... Mwenye fundi anaemfahamu anielekeze plz
Unajua mishono ya vitengeMinifundi lakini nipo ushimbo, ila naweza nikahamia dodoma ili nikuje kua fundi wako....![]()
![]()
Alafu......
Hivi hiyo avatar ni wewe.....![]()
![]()
OkKama ni ke njoo pm
OkNgoja waje wana dodoma
Naijua sana mishono ya hilo umbo lako hapo kama linavyo onekana.Unajua mishono ya vitenge

Tayari tumesha kaba hadi sisi wa ushirombo, hatuoni tabu kufunga safari panapo jitokeza bahati mujarab kama hizi....Ngoja waje wana dodoma

Asante sanaMpigie nuber yake hioo![]()
,ok nmeshawasilian naeUkimpat na akikushonea mrejesho plz
Akiniharibia.. Ntarudi kukulaumu piaUkimpat na akikushonea mrejesho plz

AsanteKuna fundi anaitwa Ally yupo barabara ya 8, pembeni ya nansio butcher