Youngstunna
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 261
- 295
Tatizo halipo upande wa adabu ila tu kuvumilia macho ya watu na masengenyo yatakayoanza, ila kwa kuwa hatuishi kwa kufuata maneno ya watu...ni vema ukamridhisha wife maana kwa wanawake vitu vidogo kama hivyo kwao huwa ni vikubwa.
Mpinga mkuu sio mpigaSijakuelewa, umempiga mkeo sababu ya yeye kutaka/kupenda kuoga na wewe?
Sawa sawa mkuu nimekupata kwa ufasaha.Inategemea zaidi na muda, huwezi kuingia na mkeo bafuni muda ambao watoto wanacheza na watu wamekaa hapo uani!
Nilikuwa naoga na wife asubuhi tuwahi kazini na kuokoa muda wa kujipanga! Kikubwa msilete mbwembwe mkachelewesha wengine, ogeni fasta tokeni. Majirani watawapenda na kuiga!
Usiku, muda ambao mnataka kwenda kulala ndiyo mzuri na watoto na wapambe washalala ndiyo mnakwenda kupiga mbizi.
Kuna neno hapo?
Ok mkuu.Mimi huyu jirani yangu ni budaboda wote tumepanga ila sasa yeye hua haogi sana
(akioga ni mara moja kwa wiki) bafu hata haliko bize, yaani bafu tunatumia mimi na yeye ila sasa kaniachia mimi naoga tu na wife maana sipati bugudha.
HahahMie mke wangu tunaoga tu.
Majirani watajuaje sasa kuwa tuna mahaba mazito?
Ni jambo la kawaida sana ila muhimu kuangalia mazingira msiwabugudhi wengine.
Kama mazingira mabovu jimwageni night kali