GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,571
- 108,925
Labda nikutumie fomu za bima ya afya
Ningependa unitumie zaidi Fomu ya tatizo lako la Akili lililogundulika.
Labda nikutumie fomu za bima ya afya
Mm sina tatizo la akili nikuombe uwe unajifunza kuwatia watu moyo ukifanya hibyo utakuwa na amani usipende kuwakatisha watu tamaa kuna namna unawezanifikisha ujumbe wakoNingependa unitumie zaidi Fomu ya tatizo lako la Akili lililogundulika.
Usiwe na msimamo wa upotoshajiNAKWAMBIA KABISA...KIPIMO CHA DARUBINI(BS) NDIO KINA MAJIBU YA UHAKIKA...HIVI VYA MRDT USIPIMIE MTOTO UTAMUUA NA MALARIA HATA MBILI TU...UKIENDELEA KUIAMINI MRDT KUWA HANA MALERIA...KWA SABABU MRDT HAIWEZI KUGUNDUA MALERIA CHINI YA 4
Ni kweli microscopy is the standard method for diagnosis ya malaria hata tafiti nyingi za kufanya comparison kati ya mRDT na microscopy kwamba ipi best ilikuja kuonekana microscopy method ni best ila changamoto inakuja kwamba lab personnel wengi inawawia ngumu kugundua mdudu wa malaria kwenye microscope wengi wanabahatisha. Matokeo yake watu wanaishia kuambiwa wana malaria 1, 2 au 3 na katika malaria reporting duniani hakuna sehemu malaria inatakiwa iwe reported hivyo.
Ukienda sehemu yoyote ukiona majibu ya malaria umeandikiwa malaria 1, 2 au 3 basi ujue hawajui wanachofanya. Malaria inakua reported kwa number of parasites counted/200 white blood cells hiyo ni according to WHO.
Blah blah blah blah....Hivi kwanini mnapendaga kujivua nguo kwa kuandika kitu usichokijua tena kwa kujiamini?UKIFIKA KWA DOCTOR...MWAMBIE UKITAKA KUCHECK NINA MALARIA...NAOMBA USITUMIE MRDT...MWAMBIE NIPIME KWA BS...
MRDT Inaweza kudetect vidudu kuanzia vinne na kuendelea...kwahiyo kuanzia viwili au vitatu kurudi chini haiwezi gundua...wakati hivyo viwili ndo vinapelekeshaga...
IKIWEZEKANA UWE UNAENDA KWENYE STREET LABS...
Mm sina tatizo la akili nikuombe uwe unajifunza kuwatia watu moyo ukifanya hibyo utakuwa na amani usipende kuwakatisha watu tamaa kuna namna unawezanifikisha ujumbe wako
Basi ya,eisha ndugu endelea kutukana ukimaliza niambieHili ni Jukwaa huru na kamwe usilazimishe Watu kutokuja na Mawazo tofauti na yale ambayo Wewe huyataki. Basi ni kheri wakati unaanzisha huu Uzi wako ungesema hapo chini kuwa wale wenye Mawazo tofauti nawe tusipoteze muda wetu Kukuchangia na tuwaache wale ambao wangechangia unavyotaka Wewe ili ufurahi.
Hivi lazima unitukane kuwa sijielewi
Atia watu moyo ni mojanya ustaarabu katika majukwaa huruHili ni Jukwaa huru na kamwe usilazimishe Watu kutokuja na Mawazo tofauti na yale ambayo Wewe huyataki. Basi ni kheri wakati unaanzisha huu Uzi wako ungesema hapo chini kuwa wale wenye Mawazo tofauti nawe tusipoteze muda wetu Kukuchangia na tuwaache wale ambao wangechangia unavyotaka Wewe ili ufurahi.
Basi ya,eisha ndugu endelea kutukana ukimaliza niambie
aalau siko peke yangu kuna mijitu humi ndanininabisha yu kila jambo naamini wanasoma huu ujumbe wakoRabininsia nadhani kuna shida katika ubora wa huduma. Mtoto wangu aliugua nilimpeleka hapo, alipimwa vipimo mbali mbali, nikatumia hela zaidi ya TZS 1m, hakuna walichogundua. Kila mara ikawa ni kupewa tu antibiotics ambazo hazikumsaidia zaidi ya kutuliza.
Baadaye nikaamua kumpeleka Hindu Mandal, daktari wa pale alitumia vipimo vile vile vilivyofanywa Rabininsia, na kusikiliza mapigo yake ya moyo na mapafu, akataja tatizo lililokuwa linamsumbua na akaeleza wazi hakukuwa na haja ya vipimo vyote vile alivyofanyiwa. Akamwanzishia tiba siku hiyo hiyo, ikawa mwisho wa shida aliyosumbuliwa kwa zaidi ya miezi 6. Mpaka sasa ni karibia miaka miwili.
uTi niliambia ninayo na dawa sikuchukua niliwaambia sina hela
Sichangai sana maana hata kujiunga kwako hapa ni mwaka huu hivyo we endelea sisi wazee tunajua nn maana ya jukwaa huru soma na jumne za wenzako kuhusu Rabinisia labda uwe ni mmoja wa wahusika na kama ndo hivyo chukua maoni ya wadau jirekebisheniUnaweza Kunionyesha hayo Matusi niliyokutukana?
Kuw
Atia watu moyo ni mojanya ustaarabu katika majukwaa huru
Nimeandika nilichoelekezwa...na ndio nlichoamini...na sitaki kubadili...Blah blah blah blah....Hivi kwanini mnapendaga kujivua nguo kwa kuandika kitu usichokijua tena kwa kujiamini?
Sawa na wagonjwa wa akili wako wengi Tanzania wamesema kila watu wanne mmoja anatatizo hiloNa ndiyo maana mapema tu nilisema kuwa ni lazima tu utakuwa na tatizo la Akili na nashukuru kwa jinsi unavyoendelea Kujibizana nami ndiyo unanithibitishia.
walinimbia kuna vijidudu 2 huwa wahakosekani ukinywa maji ya kutosha huwa tatizo linaisha na kweli limeisha