macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,765
- 39,534
Mimi nadhani tunachobishania hapa siyo mtu mwenye taaluma ya udaktari bali ni usahihi wa vipimo. Nilichogundua mimi ni kuwa hata hawa madaktari bingwa bado hawajagundua tatizo lililopo kuhusu hivi vipimo. Hili jambo badala ya kukaa na kubishana kwa kusema mimi ni daktari, wewe huna taaluma nadhani itakuwa vizuri lifanyiwe research ya kina haswa na watu wanaochukuwa degree za mambo ya maabara na madaktari.Hizi dispensary ndogo nyingi huwa wanawaza hela tu.... na lazima wamekuuzia dawa au kukuelekeza pakununua dawa....
Utateseka sana ukiwaza hivyo..... kuhusu kupona yawezekana kupona hakuhusiani kabisa man typhoid wala Malaria....
Mwili ni kitu cha ajabu sana, hao waliokuambia unywe Maji hawkukosea, kubali kuambiwa ujielewi....
Kama hauelewi mwili wako kwa kiwango hicho, vipi ukiwa na watoto 4 na mke na ukawa wahudumia wazazi wako, unafikiri watakuwa na risk ya level gani?
Tafuta mtu mwenye taaluma au daktari asiye na maslahi na wewe muelezee, maelezo yake yatakudhihirishia kwamba ujielewi....!