Nimekuwa mhanganwa Dengue ila kila mara nimelazimika kupima malaria na FBP damu ya mshipa na mkojo kwa nyataki tofauti nimeambiwa sina malaria ila kinachonishangaza ni muda unaotumika kuchukua sample na kupima ni mfupi sana, kwa kesi yangu haikumaliza hata dk 10 nimepewa majibu kuwa sina malaria wala UTIna damu ni safi nikapewa parasetamol nikaambia ninywe maji mengi angalau kita 3 kwa siku. Nimefanya hivyo kwa siku mbili sikupata nafuu na nimeugua sana ikabidi Imende kwenye kadispensary uchochoroni nikapimwa malaria kwa kutumia darubini wakanikuta na malaria naUTI nikapewa dawa leo najisikia nafuu kweli swali langu hapa ni kweli hawa jamaa wanaoima na kama wanaoima basi kuna kitu hakiko sawa ule maabara nimeona kweli wanatumia rapid malaria test inawezekana hapo ndo kuna shida...

Ni kweli ila nikuambie...malaria rapid test ni ya hovyo labda uwe na severe parasitemia....still microscope ni gold standard....old is goldSiwezi kujua uhakika wa majibu ila kama ni kweli vipimo vyote majibu yalikua chini ya dakika 10 tu basi hapo kuna sehemu wamelipua. Kupima malaria kwa kutumia rapid test nadhani inatakiwa iachwe kwa dakika si chini ya 15 ndio majibu yatolewe. UTI na FBP wanaweza kutoa mapema kama wagonjwa ni wachache kwa sababu watakua wanatumia machine za urine analyser kwa upande wa mkojo na automated haematology analyser yoyote kwa FBP.
uTi niliambia ninayo na dawa sikuchukua niliwaambia sina helaZahanati binafsi sio rahisi kutozawadiwa angalao ka-UTI ili wapate pesa kidogo.....
Pendelea hospital za serikali maana hawana interest na pesa zako. Upime usipime mshahara wao upo palepale...
Sijakuelewa sio kwamba mm napendeleamkutibiwa uchochoroninnililazimikankwenda kucontrol baada ya kuona sipati nafuu nankama hajapendezwa na mm kuuliza unaweza pia kukaa kimyaJambo usilolijua ni kama usiku wa kiza.
Endelea tu kutibiwa huko huko ulikopaita vichochoroni si unapona?.
Hata hivyo ukiamua kuwauliza hao hao rabinisia watakueleza na kukufafanulia dukuduku zako.
Ni kweli ila nikuambie...malaria rapid test ni ya hovyo labda uwe na severe parasitemia....still microscope ni gold standard....old is gold
UKIFIKA KWA DOCTOR...MWAMBIE UKITAKA KUCHECK NINA MALARIA...NAOMBA USITUMIE MRDT...MWAMBIE NIPIME KWA BS...Nimekuwa mhanganwa Dengue ila kila mara nimelazimika kupima malaria na FBP damu ya mshipa na mkojo kwa nyataki tofauti nimeambiwa sina malaria ila kinachonishangaza ni muda unaotumika kuchukua sample na kupima ni mfupi sana, kwa kesi yangu haikumaliza hata dk 10 nimepewa majibu kuwa sina malaria wala UTIna damu ni safi nikapewa parasetamol nikaambia ninywe maji mengi angalau kita 3 kwa siku. Nimefanya hivyo kwa siku mbili sikupata nafuu na nimeugua sana ikabidi Imende kwenye kadispensary uchochoroni nikapimwa malaria kwa kutumia darubini wakanikuta na malaria naUTI nikapewa dawa leo najisikia nafuu kweli swali langu hapa ni kweli hawa jamaa wanaoima na kama wanaoima basi kuna kitu hakiko sawa ule maabara nimeona kweli wanatumia rapid malaria test inawezekana hapo ndo kuna shida...
Acha ujinga...sio kila siku ni jumapili...Ukiamini unalogwa mwili utajisikia una maumivu ya kulogwa.... Imani ni kitu cha Ajabu sana, ila n hiyo dispensary wangepata wapi hela Kama si kwa mtu asiyejielewa Kama wewe!
NAKWAMBIA KABISA...KIPIMO CHA DARUBINI(BS) NDIO KINA MAJIBU YA UHAKIKA...HIVI VYA MRDT USIPIMIE MTOTO UTAMUUA NA MALARIA HATA MBILI TU...UKIENDELEA KUIAMINI MRDT KUWA HANA MALERIA...KWA SABABU MRDT HAIWEZI KUGUNDUA MALERIA CHINI YA 4Ndugu,
Unataka kusema tusipime MRDT isipokuwa tutumie Ile lnjia ya darubini ndio yenye uhakika?
Nimekuwa mhanganwa Dengue ila kila mara nimelazimika kupima malaria na FBP damu ya mshipa na mkojo kwa nyataki tofauti nimeambiwa sina malaria ila kinachonishangaza ni muda unaotumika kuchukua sample na kupima ni mfupi sana, kwa kesi yangu haikumaliza hata dk 10 nimepewa majibu kuwa sina malaria wala UTIna damu ni safi nikapewa parasetamol nikaambia ninywe maji mengi angalau kita 3 kwa siku. Nimefanya hivyo kwa siku mbili sikupata nafuu na nimeugua sana ikabidi Imende kwenye kadispensary uchochoroni nikapimwa malaria kwa kutumia darubini wakanikuta na malaria naUTI nikapewa dawa leo najisikia nafuu kweli swali langu hapa ni kweli hawa jamaa wanaoima na kama wanaoima basi kuna kitu hakiko sawa ule maabara nimeona kweli wanatumia rapid malaria test inawezekana hapo ndo kuna shida...
Labda nikutumie fomu za bima ya afyaUandishi wako huu na mpangilio wako wa Maneno unaonyesha kuwa huenda Hospitali hiyo ya Rabinsia haina matatizo bali tatizo likawa ni Wewe na ambalo limeanzia Ubongoni mwako. Wahi ukatibiwe tatizo la Akili linalokuijia kabla hali yako haijawa vibaya zaidi.
Ndiko walikogundua ila kuna mijitu huku mwinginenkaniambia eti nina taizo la akili na huwa siendi hiyo hospitali hhh asante kwa ushautiUKIFIKA KWA DOCTOR...MWAMBIE UKITAKA KUCHECK NINA MALARIA...NAOMBA USITUMIE MRDT...MWAMBIE NIPIME KWA BS...
MRDT Inaweza kudetect vidudu kuanzia vinne na kuendelea...kwahiyo kuanzia viwili au vitatu kurudi chini haiwezi gundua...wakati hivyo viwili ndo vinapelekeshaga...
IKIWEZEKANA UWE UNAENDA KWENYE STREET LABS...