Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,481
- 3,991
Nimekuwa mhanga wa Dengue ila kila mara nimelazimika kupima malaria na FBP damu ya mshipa na mkojo kwa nyataki tofauti nimeambiwa sina malaria ila kinachonishangaza ni muda unaotumika kuchukua sample na kupima ni mfupi sana, kwa kesi yangu haikumaliza hata dk 10 nimepewa majibu kuwa sina malaria wala UTI na damu ni safi nikapewa paracetamol nikaambia ninywe maji mengi angalau lita 3 kwa siku.
Nimefanya hivyo kwa siku mbili sikupata nafuu na nimeugua sana ikabidi niende kwenye kadispensary uchochoroni nikapimwa malaria kwa kutumia darubini wakanikuta na malaria na UTI nikapewa dawa leo najisikia nafuu kweli
Swali langu hapa ni kweli hawa jamaa wanapima na kama wanapima basi kuna kitu hakiko sawa kule maabara nimeona kweli wanatumia rapid malaria test inawezekana hapo ndo kuna shida.