Kwa waliokutana na hii hali Rabininsia Memorial Hospital tujuzane

Gidbang

JF-Expert Member
Jun 1, 2014
4,481
3,991
Nimekuwa mhanga wa Dengue ila kila mara nimelazimika kupima malaria na FBP damu ya mshipa na mkojo kwa nyataki tofauti nimeambiwa sina malaria ila kinachonishangaza ni muda unaotumika kuchukua sample na kupima ni mfupi sana, kwa kesi yangu haikumaliza hata dk 10 nimepewa majibu kuwa sina malaria wala UTI na damu ni safi nikapewa paracetamol nikaambia ninywe maji mengi angalau lita 3 kwa siku.

Nimefanya hivyo kwa siku mbili sikupata nafuu na nimeugua sana ikabidi niende kwenye kadispensary uchochoroni nikapimwa malaria kwa kutumia darubini wakanikuta na malaria na UTI nikapewa dawa leo najisikia nafuu kweli

Swali langu hapa ni kweli hawa jamaa wanapima na kama wanapima basi kuna kitu hakiko sawa kule maabara nimeona kweli wanatumia rapid malaria test inawezekana hapo ndo kuna shida.
 
Nimekuwa mhanganwa Dengue ila kila mara nimelazimika kupima malaria na FBP damu ya mshipa na mkojo kwa nyataki tofauti nimeambiwa sina malaria ila kinachonishangaza ni muda unaotumika kuchukua sample na kupima ni mfupi sana, kwa kesi yangu haikumaliza hata dk 10 nimepewa majibu kuwa sina malaria wala UTIna damu ni safi nikapewa parasetamol nikaambia ninywe maji mengi angalau kita 3 kwa siku. Nimefanya hivyo kwa siku mbili sikupata nafuu na nimeugua sana ikabidi Imende kwenye kadispensary uchochoroni nikapimwa malaria kwa kutumia darubini wakanikuta na malaria naUTI nikapewa dawa leo najisikia nafuu kweli swali langu hapa ni kweli hawa jamaa wanaoima na kama wanaoima basi kuna kitu hakiko sawa ule maabara nimeona kweli wanatumia rapid malaria test inawezekana hapo ndo kuna shida...

Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza.

Endelea tu kutibiwa huko huko ulikopaita vichochoroni si unapona?.

Hata hivyo ukiamua kuwauliza hao hao rabinisia watakueleza na kukufafanulia dukuduku zako.
 
Siwezi kujua uhakika wa majibu ila kama ni kweli vipimo vyote majibu yalikua chini ya dakika 10 tu basi hapo kuna sehemu wamelipua. Kupima malaria kwa kutumia rapid test nadhani inatakiwa iachwe kwa dakika si chini ya 15 ndio majibu yatolewe. UTI na FBP wanaweza kutoa mapema kwa sababu watakua wanatumia machine za urine analyser kwa upande wa mkojo na automated haematology analyser yoyote kwa FBP.
 
Siwezi kujua uhakika wa majibu ila kama ni kweli vipimo vyote majibu yalikua chini ya dakika 10 tu basi hapo kuna sehemu wamelipua. Kupima malaria kwa kutumia rapid test nadhani inatakiwa iachwe kwa dakika si chini ya 15 ndio majibu yatolewe. UTI na FBP wanaweza kutoa mapema kama wagonjwa ni wachache kwa sababu watakua wanatumia machine za urine analyser kwa upande wa mkojo na automated haematology analyser yoyote kwa FBP.
Ni kweli ila nikuambie...malaria rapid test ni ya hovyo labda uwe na severe parasitemia....still microscope ni gold standard....old is gold
 
Zahanati binafsi sio rahisi kutozawadiwa angalao ka-UTI ili wapate pesa kidogo.....

Pendelea hospital za serikali maana hawana interest na pesa zako. Upime usipime mshahara wao upo palepale...
uTi niliambia ninayo na dawa sikuchukua niliwaambia sina hela
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza.

Endelea tu kutibiwa huko huko ulikopaita vichochoroni si unapona?.

Hata hivyo ukiamua kuwauliza hao hao rabinisia watakueleza na kukufafanulia dukuduku zako.
Sijakuelewa sio kwamba mm napendeleamkutibiwa uchochoroninnililazimikankwenda kucontrol baada ya kuona sipati nafuu nankama hajapendezwa na mm kuuliza unaweza pia kukaa kimya
 
Ukiamini unalogwa mwili utajisikia una maumivu ya kulogwa.... Imani ni kitu cha Ajabu sana, ila n hiyo dispensary wangepata wapi hela Kama si kwa mtu asiyejielewa Kama wewe!
Hivi lazima unitukane kuwa sijielewi
 
Kuna watu humi raha yao ni kuwakera wenzao hapo ndo anajisikia kafanya jambo la maana
 
Ni kweli microscopy is the standard method for diagnosis ya malaria hata tafiti nyingi za kufanya comparison kati ya mRDT na microscopy kwamba ipi best ilikuja kuonekana microscopy method ni best ila changamoto inakuja kwamba lab personnel wengi inawawia ngumu kugundua mdudu wa malaria kwenye microscope wengi wanabahatisha. Matokeo yake watu wanaishia kuambiwa wana malaria 1, 2 au 3 na katika malaria reporting duniani hakuna sehemu malaria inatakiwa iwe reported hivyo.

Ukienda sehemu yoyote ukiona majibu ya malaria umeandikiwa malaria 1, 2 au 3 basi ujue hawajui wanachofanya. Malaria inakua reported kwa number of parasites counted/200 white blood cells hiyo ni according to WHO.
Ni kweli ila nikuambie...malaria rapid test ni ya hovyo labda uwe na severe parasitemia....still microscope ni gold standard....old is gold
 
Nimekuwa mhanganwa Dengue ila kila mara nimelazimika kupima malaria na FBP damu ya mshipa na mkojo kwa nyataki tofauti nimeambiwa sina malaria ila kinachonishangaza ni muda unaotumika kuchukua sample na kupima ni mfupi sana, kwa kesi yangu haikumaliza hata dk 10 nimepewa majibu kuwa sina malaria wala UTIna damu ni safi nikapewa parasetamol nikaambia ninywe maji mengi angalau kita 3 kwa siku. Nimefanya hivyo kwa siku mbili sikupata nafuu na nimeugua sana ikabidi Imende kwenye kadispensary uchochoroni nikapimwa malaria kwa kutumia darubini wakanikuta na malaria naUTI nikapewa dawa leo najisikia nafuu kweli swali langu hapa ni kweli hawa jamaa wanaoima na kama wanaoima basi kuna kitu hakiko sawa ule maabara nimeona kweli wanatumia rapid malaria test inawezekana hapo ndo kuna shida...
UKIFIKA KWA DOCTOR...MWAMBIE UKITAKA KUCHECK NINA MALARIA...NAOMBA USITUMIE MRDT...MWAMBIE NIPIME KWA BS...

MRDT Inaweza kudetect vidudu kuanzia vinne na kuendelea...kwahiyo kuanzia viwili au vitatu kurudi chini haiwezi gundua...wakati hivyo viwili ndo vinapelekeshaga...

IKIWEZEKANA UWE UNAENDA KWENYE STREET LABS...
 
Ukiamini unalogwa mwili utajisikia una maumivu ya kulogwa.... Imani ni kitu cha Ajabu sana, ila n hiyo dispensary wangepata wapi hela Kama si kwa mtu asiyejielewa Kama wewe!
Acha ujinga...sio kila siku ni jumapili...

NILIMPELEKA MWANANGU HOSPITAL WAKAMPIMA NA MRDT MALARIA...WAKASEMA HANA MALERIA...NIKAENDA PHARMACY WAKANISHAURI NENDA LABS ZA MTAANI WAPIME KWA HADUBINI...NA WALIGUNDUA MALERIA MBILI ILIKUWA INAMPELEKESHA MWANANGU...

ALHAMDULILLAH ALIPONA...JE NINGEKAA KUSEMA HAUMWI MALERIA HALI YA MWANANGU INGEKUAJE..?
 
Ndugu,
Unataka kusema tusipime MRDT isipokuwa tutumie Ile lnjia ya darubini ndio yenye uhakika?
NAKWAMBIA KABISA...KIPIMO CHA DARUBINI(BS) NDIO KINA MAJIBU YA UHAKIKA...HIVI VYA MRDT USIPIMIE MTOTO UTAMUUA NA MALARIA HATA MBILI TU...UKIENDELEA KUIAMINI MRDT KUWA HANA MALERIA...KWA SABABU MRDT HAIWEZI KUGUNDUA MALERIA CHINI YA 4
 
Nimekuwa mhanganwa Dengue ila kila mara nimelazimika kupima malaria na FBP damu ya mshipa na mkojo kwa nyataki tofauti nimeambiwa sina malaria ila kinachonishangaza ni muda unaotumika kuchukua sample na kupima ni mfupi sana, kwa kesi yangu haikumaliza hata dk 10 nimepewa majibu kuwa sina malaria wala UTIna damu ni safi nikapewa parasetamol nikaambia ninywe maji mengi angalau kita 3 kwa siku. Nimefanya hivyo kwa siku mbili sikupata nafuu na nimeugua sana ikabidi Imende kwenye kadispensary uchochoroni nikapimwa malaria kwa kutumia darubini wakanikuta na malaria naUTI nikapewa dawa leo najisikia nafuu kweli swali langu hapa ni kweli hawa jamaa wanaoima na kama wanaoima basi kuna kitu hakiko sawa ule maabara nimeona kweli wanatumia rapid malaria test inawezekana hapo ndo kuna shida...

Uandishi wako huu na mpangilio wako wa Maneno unaonyesha kuwa huenda Hospitali hiyo ya Rabinsia haina matatizo bali tatizo likawa ni Wewe na ambalo limeanzia Ubongoni mwako. Wahi ukatibiwe tatizo la Akili linalokuijia kabla hali yako haijawa vibaya zaidi.
 
Labda nikutumie fomu za bima ya afya
 
UKIFIKA KWA DOCTOR...MWAMBIE UKITAKA KUCHECK NINA MALARIA...NAOMBA USITUMIE MRDT...MWAMBIE NIPIME KWA BS...

MRDT Inaweza kudetect vidudu kuanzia vinne na kuendelea...kwahiyo kuanzia viwili au vitatu kurudi chini haiwezi gundua...wakati hivyo viwili ndo vinapelekeshaga...

IKIWEZEKANA UWE UNAENDA KWENYE STREET LABS...
Ndiko walikogundua ila kuna mijitu huku mwinginenkaniambia eti nina taizo la akili na huwa siendi hiyo hospitali hhh asante kwa ushauti
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom