goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,021
- 1,268
Kipengele cha membership number kinahitaji uingize tarakimu 9 wakati huo kwenye kadi kuna tarakimu 12. Hii inakuaje au kuna mahali mimi nakosea?
Msaada tafadhali
Msaada tafadhali
NHIF wenyewe wanasemaje?Kipengele cha membership number kinahitaji uingize tarakimu 9 wakati huo kwenye kadi kuna tarakimu 12. Hii inakuaje au kuna mahali mimi nakosea?
Msaada tafadhali
Hawapokei simu. Lakini humu kunawatu wamejisajili kwa portal yao ya self-service na wamefanikawaNHIF wenyewe wanasemaje?
Kama unatumia kadi hizi za sasa zinazoanzia na 101,hapo membership namba yako ni tarakimu zote baada ya hiyo code 101 yaani ondoa tarakimu tatu za mwanzo so zinazobaki ndio membership namba yako.Kipengele cha membership number kinahitaji uingize tarakimu 9 wakati huo kwenye kadi kuna tarakimu 12. Hii inakuaje au kuna mahali mimi nakosea?
Msaada tafadhali
Nimefanya hivyo lakini bado imegomaKama unatumia kadi hizi za sasa zinazoanzia na 101,hapo membership namba yako ni tarakimu zote baada ya hiyo code 101 yaani ondoa tarakimu tatu za mwanzo so zinazobaki ndio membership namba yako.
Ila hiyo ndio membership number,namba ya simu weka ile inayopokelea taarifa/notifications za matibabuNimefanya hivyo lakini bado imegoma