Yamehudhunisha wengi mkuuDaaah, siamini kama ni kweli yale matokeo, hivi wanasihishaje? Next time inshallah sikati tamaa
Amina... Hongera sana... Kila la kheriNashukuru! once again tukutane MUHAS tulofanikiwa kupita ungwe ya kwanza pia msife moyo wenzetu ambao hamjapita ni Muhimu kujipanga vema na wakati mwingine Mungu atafungua njia hakuna gumu kwake yeye ndiye awezae.
Yaani naona kwa kiasi kikubwa wanatengeneza mazingira ya kufeli,huwezi ita watu 600 kwa nafasi nne,,,,,niliwahi Fanya interview benk moja,yaan watu wawili tuligombania nafasi moja,,,nafasi zilikua 30 tuliitwa 60Yaani mimi nikifanya mpaka tano nkakosa naachana nao... Hii ilikua mara ya pili
Acha kukata tamaa mapema. Watu tulishapiga hizo interview mpk 10+ na tukajaga pata mtonyo hevy. Jamaa wapo very fair hakuna cha undugu pale.Yaani mimi nikifanya mpaka tano nkakosa naachana nao... Hii ilikua mara ya pili
Yeah tayari wametoa jana usiku, oral wameigawa wengine watafanya tar 24/09,wengine tutafanya tar 26/09,jumla ya watahiniwa 121wapo above 50 ila wamechukua kuanzia 64-76,jumla 23Habari,
Ningependa fahamu kama matokeo ya ile interview ya utumishi ya juzi 21/09/2018 yameshatoka? Na naweza yapata wapi?
Maswali yalikuwa yakawaida kama mtu kasoma mfano, limitations of recruitment within the organization, advantages of sampling, etcmaswali yalikuwaje wakuu maana nna interview next week hapo duce?
Mi nafanya tar 26 oral pale maktabaWewe ulifanya interview leo?
@Fibs written tu,unapata presha hivi,je oral wanayosubiria wiki 3,hadi mwezi mzima si ndo utakonda kwa stress kabisa.Yaani wananipa presha mwenzenu...
Ila nasikia sometimes wanaofika oral wanaingia kwenye database na baadae nafasi zikitokea wanaitwa tu kazini@Fibs written tu,unapata presha hivi,je oral wanayosubiria wiki 3,hadi mwezi mzima si ndo utakonda kwa stress kabisa.
Ni bora ukose written uondoke kuliko,ukaenda hadi oral ndipo ukakosa huwa inauma so mchezo.
Asante mkuu, japo ni changamoto, maana ni oral ya 4 na hawanipi kaziAll the best mkuu... Ukiajiriwa nikumbuke ata kwa kavocha