Asante sanaWalisema yatatoka siku ya jumapili tar 23, sasa leo asubuhi ukitoka kanisani kula afu cheki jina lako. ... Check hapa website www.ajira.go.tz
Hata mi nasubiria kuna hayo matokeo, mpaka SAA hizi naona badoHabari,
Ningependa fahamu kama matokeo ya ile interview ya utumishi ya juzi 21/09/2018 yameshatoka? Na naweza yapata wapi?
Tuwe na subira maana bado ni asubuhi. Mungu mwema tutachomoka tuHata mi nasubiria kuna hayo matokeo, mpaka SAA hizi naona bado
Link plzYameshatoka
Ndo ww ulikuwa umependeza vile??Habari,
Ningependa fahamu kama matokeo ya ile interview ya utumishi ya juzi 21/09/2018 yameshatoka? Na naweza yapata wapi?
Maswali yalikuwa ya kawaida sema matokeo yakitoka ndo tutajua zaidi...we umeitwa post ganimaswali yalikuwaje wakuu maana nna interview next week hapo duce?
Bado kama unaulizaYameshatoka