Kwa waliofanya oral interview asst tax officer TRA.

Kwa waliofanya oral interview asst tax officer TRA.

bishankara

Senior Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
140
Reaction score
8
Naomba mnisaidie, je kweli kuna watu wameitwa kufika makao makuu yao kesho jumamosi tarehe 16/02/2013 saa mbili asubuhi? Make bwana mdogo kaambiwa na mwenzake eti kapigiwa afike kesho saa mbili Head Quarter. Msaada wenu plz.
 
Hakuna kitu kama hiko, kuanzia tarehe 27 ndo wataanza kupiga simu, na huendi makao makuu, unaenda ITA mwenge kuchukua barua ya kuingia training
 
Hakuna kitu kama hiko, kuanzia tarehe 27 ndo wataanza kupiga simu, na huendi makao makuu, unaenda ITA mwenge kuchukua barua ya kuingia training

Hii taarifa hakika mkuu? namba ya wanaohitajika ni wangapi au kawaida ni ratio gani?
 
Back
Top Bottom