Kwa waliochaguliwa mzumbe chuo cha ma genious tuzungumze

Dogo nenda nitakuwekea bili kwa baunsa ya maji ya mende, na msos kwa da gift bila kusahau kiepe kwa njoroge, na dege moja zuri la kukuliwaza,

Mi mzumbe ni alma matter and sijifichi kusema nimesoma pale but kinachinikera kile chuo vimemo, kuna watu wana hadi 4 nimesoma nao darasan tena course yenye cut off kubwa, zile selection za kwenye magazeti ni gheresha tu kuna magumashi kibao wanaingia mlango wa nyuma wana maksi kama namba za viatu
 
i'ts a great honour to be selected in the best university in tanzania, Mzumbe University,watu kibao walitamani sema nii wachache ndo wwanapata bahati ya kuchaguliwa kwenye chuo hiki bora kabisa TANZANIA.bila shaka tutakutana tarehe 15,october..Nice time budies

Hongera kwa kuchaguliwa kujiunga na chuo kikuu,lakini aliyekuambia hivyo kamuhoji upya!Kile chuo ni hela yako tu tena na hivi kipo kijijini basi mambo yanamalizwa kimyakimya!Nina kaka yangu anamaliza BAF pale alipata daraja la 3 form 6 tukajichanga ukoo mzima akaingia pale lainiii kama ananawa.
 
Kwendeni zenu!!!!!!mzumbe ndokilakitu!!!!!!!!!!!maneno ya wakosaji!!!!!!!!!!!!!!pyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
 
i'ts a great honour to be selected in the best university in tanzania, Mzumbe University,watu kibao walitamani sema nii wachache ndo wwanapata bahati ya kuchaguliwa kwenye chuo hiki bora kabisa TANZANIA.bila shaka tutakutana tarehe 15,october..Nice time budies

kweli wewe DANIEL IDDO umepata bahati ya kipekee kuchaguliwa Bachelor of Health Systems Management (BHSM) hapo MU.

S0134/0765
M
DANIEL IDDO
10
II
G/STUDIES-S HISTORY-D GEOGR-C ENGLISH-C
 
Kwendeni zenu!!!!!!mzumbe ndokilakitu!!!!!!!!!!!maneno ya wakosaji!!!!!!!!!!!!!!pyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
Mmmh,ungejua hao watu unaowaambia hivyo walishasahau hata mambo ya vyuo usingeleta hii mipasho hapa!..
Kijana huoni hata hao watu wanaongelea 2008 hebu jiulize mtu aliyemaliza 4m6 2008 yuko wapi sasa hv ndy ufikirie maneno ya kusema!...
 
kweli wewe DANIEL IDDO umepata bahati ya kipekee kuchaguliwa Bachelor of Health Systems Management (BHSM) hapo MU.

S0134/0765 M DANIEL IDDO 10 II G/STUDIES-S HISTORY-D GEOGR-C ENGLISH-C
yaalaah!! mkuu naona umeamua kumlipua kijana!!! teh teh teh teh....
 
kweli wewe DANIEL IDDO umepata bahati ya kipekee kuchaguliwa Bachelor of Health Systems Management (BHSM) hapo MU.

S0134/0765 M DANIEL IDDO 10 II G/STUDIES-S HISTORY-D GEOGR-C ENGLISH-C
Dah mkuu Wi-Fi wewe ni grt thinker,huyo ndy genius bhana yaani amepata zali kweli kuchaguliwa cjui ndy ka2mia refa!...
 
Last edited by a moderator:
kweli wewe DANIEL IDDO umepata bahati ya kipekee kuchaguliwa Bachelor of Health Systems Management (BHSM) hapo MU.

S0134/0765 M DANIEL IDDO 10 II G/STUDIES-S HISTORY-D GEOGR-C ENGLISH-C

YES, this is our genius!

Form IV

0485/0158 M DANIEL IDDO 22 III CIV-C HIST-D GEO-C KISW-C ENGL-C BIO-D B/MATH-D COMM-F B/KEEPING-B
 
i'ts a great honour to be selected in the best university in tanzania, Mzumbe University,watu kibao walitamani sema nii wachache ndo wwanapata bahati ya kuchaguliwa kwenye chuo hiki bora kabisa TANZANIA.bila shaka tutakutana tarehe 15,october..Nice time budies

Tumejua umechaguliwa mzumbe then what next?
 
nikiambiwa kuchagua kati ya chuo bora cha elimu ya juu,Kazi nzuri,Pesa nyingi unlimited,Mke mwema na Kujitambua...ningechagua KUJITAMBUA
 
yalaaaaa,WI-FI, nini tena,very nyc,mi nilijua ana moja ya tatu hadi sita,kumbe maji taka tuu,halaf combi ya kike,ukimuona mwanayumba mwambie bado nampenda,ukimuona mwanayumba mwambie bado nampeeenda,Huwezi kusimamisha lori kwa kupanga nyanya barabarani,dogo ukasome,utaliwa kichwa kilaza weee
 
kweli wewe DANIEL IDDO umepata bahati ya kipekee kuchaguliwa Bachelor of Health Systems Management (BHSM) hapo MU.

S0134/0765
M
DANIEL IDDO
10
II
G/STUDIES-S HISTORY-D GEOGR-C ENGLISH-C

duh kwel hii sio fb ni THE HOME OF GREAT THINKERS, dogo akajpange
 
mwana iyo ishu niliandika nione watu wata comment aje...i was not hat serious ipotezee basi,,duuuuuh sikutegemea watu wataichukulia namna hii
 
Co utani mi mwenyewe na 3 ya 17 na principal 1 na naenda sheria hapo mzumbe nigga money talks
 
mtu wangu niliandika kama utani lakini watu mmefanya serious kinoma,nilitaka kucheki people wata comment vip
 
mwana hii ishu niliandika kama utani nione raia mtaichukuliaje,..lakin duuuh watu mmefanya ishu serious kinoma
 
mwana hii post nimeandika kama utani vile nione watu wata comment aje,duuuuh kwel raia ukiwachokoza ni noumah
 
mwana hii post nimeandika kama utani vile nione watu wata comment aje,duuuuh kwel raia ukiwachokoza ni noumah

Dogo, I appreciate your Olive branch.

You should know that this forum is not FB. There are a great number of brains contributing to this forum including your future teachers. You stirred up a beehive, prepare yourself for a good dose of venom! I hope you have understood and your lecturers will not judge you from this post, but for the materials you write in the papers.

Stay well
 
Back
Top Bottom