Msaada: Wanafunzi waliochaguliwa kwenda Chuo cha ualimu Korogwe

jcapitalyoya

New Member
Jun 21, 2023
4
3
Nauliza kuhusu wanafunzi waliochaguliwa kwenda chuo cha ualimu Korogwe niko hapa mmoja kati yenu.

Mawasiliano: 0783671666

IMG_20230630_161642_246.jpg
 
Pamoja na maoni ya wachangiaji mada hii waliotangulia, si salama, namaanisha ni hatari kubwa 'kuanika' namba ya simu mtandaoni kama alivyofanya muanzisha 'uzi'
 
Pamoja na maoni ya wachangiaji mada hii waliotangulia, si salama, namaanisha ni hatari kubwa 'kuanika' namba ya simu mtandaoni kama alivyofanya muanzisha 'uzi'
Ni salama kwa nilivyo dhani kama haikuhusu achana nayo
 
Back
Top Bottom