Kwa wale wote mliojaza b.a law enforcement udsm.hii ni degree special kwa ajili ya vyombo vya ulinzi na usalama na inatolewa udsm tu. mara nyingi jeshi la police limekuwa likiwachukua mapema kwa sababu wanawahi kutoa ajira na ukisoma law enforcement BALE kuajiriwa police ni 99% kama unapenda upolisi.
Idara zingine za law enforcement ni Uhamiaji, magereza,fire,PCCB,JW NA Usalama.
kozi hii huchukua wanafunzi 50 tu kwa mwaka na wanaotoka kazini huwa ni kama 25-30 hivyo toka form six moja kwa moja ni kama 20-25 inategemeana na mwaka .
uliza chochote ntakujibu nilisoma hiyo course.
walimu ni wa sheria udsm na maafisa wa police headq. ambao wanafundisha kozi mbalimbali za ulinzi na usalama